Tanganyikana
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 1,160
- 364
- Thread starter
- #41
Huwa siwaelewi wanaume wanaotumia maneno ya namba 2.
Hiyo inakera sana mkuu,
Huwa siwaelewi wanaume wanaotumia maneno ya namba 2.
mtoa mada ni mzinguaji,mwanaume wa kweli hatumii mafumbo kama "gasho" huwa anapasuka kwa hoja live bila chenga
Ongea na Chama chako muache Unyonyaji na Maovu kwa watu masikini we lumumba.
Umeona hilo tu?
Hahahahaaaaa waambie haoo ,baby naomba Hela yaani cna kabisa hata cjui itakuaje mwenyewe cna hata yakula Leo??????
Baba Yako Aliuza Ng'ombe Ili alete Ng'ombe Mwingine JF.