Mwanaume halisi hatukutegemei uyafanye haya

Mwanaume halisi hatukutegemei uyafanye haya

Yaan umepika pilau vizuri kisha ukatia chembe ya kinyesi. Yaan hiyo namba 7 usengeiweka, maana ndo imetia doa thread nzima. But apart from that lilikua bonge la thread.
 
mtoa mada ni mzinguaji,mwanaume wa kweli hatumii mafumbo kama "gasho" huwa anapasuka kwa hoja live bila chenga
 
Wanaume Feki hujidai kupanga orodha ya wanaume Halisi daima.

Uanaume wako hatuupimii kiivo.. Ina faida gani ukawa na vyote alafu

1.Humjui Mungu

2.Humridhishi mkeo/mchumba ktk mambo tofauti tofauti

3.Huna uwezo Wa kuzalisha?

4.Upo Upo kisengerema sengerema tu?
 
aisee!, kwaiyo, chama kile kuna kina mama zaidi wakipiga umbea.
inakuaje kwenye mzania huu mtu anaposhabikia prof. muongo, chenge au asiye muadilifu yoyote hata kama kahama chama kwenye macho ya watanzania?

Acha ujuha anzisha post yako.na ww
 
Yaan umepika pilau vizuri kisha ukatia chembe ya kinyesi. Yaan hiyo namba 7 usengeiweka, maana ndo imetia doa thread nzima. But apart from that lilikua bonge la thread.

Thead iko powa sn kuanzia mwanzo mpk mwisho acha kujitoa ufaham ww utakuwa wa kiume lkn unatabia za kike hiyo no saba ikahuhusu aanaaaaaaaaaa
 
Wanaume Feki hujidai kupanga orodha ya wanaume Halisi daima.

Uanaume wako hatuupimii kiivo.. Ina faida gani ukawa na vyote alafu

1.Humjui Mungu

2.Humridhishi mkeo/mchumba ktk mambo tofauti tofauti

3.Huna uwezo Wa kuzalisha?

4.Upo Upo kisengerema sengerema tu?

Kumjua mungu ndio unakua mwanaume halisi?
Tusiomjua kwa hiyo sio wanaume halisi?
 
Kazi kwao walioguswa na number 7 lakn umenena kiujumla
 
mwanaume wa kweli haongei mipasho kama ulivyoongea kwenye no 7, funguka tukuelewe acha taarabu dada
 
Wanaume Feki hujidai kupanga orodha ya wanaume Halisi daima.

Uanaume wako hatuupimii kiivo.. Ina faida gani ukawa na vyote alafu

1.Humjui Mungu

2.Humridhishi mkeo/mchumba ktk mambo tofauti tofauti

3.Huna uwezo Wa kuzalisha?

4.Upo Upo kisengerema sengerema tu?

Ongea na Chama chako muache Unyonyaji na Maovu kwa watu masikini we lumumba.
 
mtoa mada ni mzinguaji,mwanaume wa kweli hatumii mafumbo kama "gasho" huwa anapasuka kwa hoja live bila chenga

mkuu umenena vyema pokea like....
Sikh zote dume huwa haongei kwa mafumbo na haofii kitu kwenye ukweli... kama unaamua kusema bora ufunguke tu na kama una nidhamu ya uoga tuachie wenyewe tunaoiweza kazi....!!!!!
 
umesahau,
#7. Mwanaume kugeuzwa geuzwa kama chapati TENA na dume lenzako SIO UANAUME kabisa. Mfano, mwenyekiti fulani wa chama fulani anavyowageuza na 'wanaume' wanakubali tu.
 
Huwa siwaelewi wanaume wanaotumia maneno ya namba 2.
 
Na umesahau wale wanaonunulikwa kwa VILAKI afafu miaka mitano analalamika uongoz m'baya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom