Kaka maasai
Member
- Jul 26, 2026
- 84
- 198
Hayo ni yakwako wewe na njaa zako,sisi watoto wa Ushuani hatuna ujinga huo,mwendo wa bata tu.Ulaini ndiyo chanzo cha kuwa choko\mchicha mwiba.mwanaume haufai hata ujiangalie kwa kioo. kaa kibishi mwanaume ameumbiwa magumu.mwanaume haufai uchague mishe. mungu awasaidie wanaume na majaribu yote awape nguvu.wanaume sisi ni washindi usikubali kamwe kushindwa.
Mawazo ya kimaskini tz, anata ku normalize shida kwa mwanaume akiamini ndio sifa how patheticUlaini ndiyo chanzo cha kuwa choko\mchicha mwiba.mwanaume haufai hata ujiangalie kwa kioo. kaa kibishi mwanaume ameumbiwa magumu.mwanaume haufai uchague mishe. mungu awasaidie wanaume na majaribu yote awape nguvu.wanaume sisi ni washindi usikubali kamwe kushindwa.
Una mawazo kama yangu aiseewew ndo ndugu yale masai dada?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hayo ni yakwako wewe na njaa zako,sisi watoto wa Ushuani hatuna ujinga huo,mwendo wa bata tu.
-Kama upo kwenye kizazi cha laana,kitakuuwa,njaa mpaka unazikwa,zako buku 5,10....
Umaskini ni janga kuu hapa TZ, [emoji23][emoji23][emoji23]
Haswaaa.Nakazia