peaceful boiiii
Member
- Jul 18, 2018
- 61
- 38
Ndiyo mseme mnataka nini!Je nyinyi mna fanya nini kwetu..!??
Ndiyo anazichukua kwako anapeleka kwa mwinginetufahamu pia pesa ndo kiboko yenu
Tatizo hawasemagi mtu ana unguruma tu na kukimbilia kwa michepuko badala ya kufunguka afanyiwe niniAsant kwa kunisaidia kuuliza hilo
Sijui wanaendaga kupumulia wapi ndiyo wanakaa vijiweni na kudanganyanaSijui huwa wanaogopa nini?
For the number of relationships i have been in, nimegundua its the little things that matter, ambavyo wanaume mara nyingi huwa tuna vi-overlook au dismiss.