cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,586
- 8,386
Wanaume wengi wamekuwa na maswali juu ya sisi wanawake kuwa huwa tunataka nini kwenye mahusiano na huku kila kitu tunapata
Ukifanya haya hutasikia tunalalamika
Moja,mjali mwanamke..hata kama una kipato kidogo mjali,mnunulie vizawadi vidogo vidogo na mpe fedha ya matumizi kulingana na uwezo wako,,kama unaingiza elfu 30 kwa wiki nawe ukawa unampa elfu 5 sio mbaya
Mbili,Kuwa mwaminifu,epuka kucheat au kumfanyia hadharani,jitahidi sana asijue kuwa una mwanamke mwingine
Tatu,mburudishe,mpe raha ambayo hajawahi kupata popote pale muwapo faragha,hakikisha anafurahia kila wakati maeneo hayo maana ndicho kiunganishi chenu cha mahusiano
Ukifanya haya hutasikia tunalalamika,na kama tumegombana kiasi gani siwezi nikakuacha,na ukiniacha nitachanganyikiwa