Hasa wanawake waswahili wa vitendo.Ndugu,
Nawashauri kwa wale ambao mnategemea kua na mahusiano ya kudumu.Epuka mwanamke mvivu anayeshinda anaangalia TV na kuchati.
Mwanamke anatakiwa awe na vijimiradi au vyanzo vya hela. Kumbuka kuna kifo na hatujui atakaetangulia.
Je mwanaume ukatangulia ni nani atawalea hao watoto? Japo kuna mila zingine zinadai mwanamke pambo la nyumba, lakini kwa sasa zimepitwa na wakati.
Mwanaume epuka mwanamke goal keeper.
Wahenga na kokoko wpi na wapi hzo tunawaachia wa digital;analogia tushalog out!Naww si unapenda hizo vitu
uko vizuri sana upstairs.Tunalijua hilo ndio mana na sisi wanawake tulio wengi kwa miaka ya sasa hatutaki kuwa magolikipa kwa sababu baadhi ya wanaume wakioa mwanamke asiyejishughulisha basi huyo mwanamke ajiandae kwa manyanyaso.
ai wishi huyo wa kwenye avatar angekua wewe endi ai wishi i kudu bi araundi.Wahenga na kokoko wpi na wapi hzo tunawaachia wa digital;analogia tushalog out!
Ww unabadili brazilian hair tuWahenga na kokoko wpi na wapi hzo tunawaachia wa digital;analogia tushalog out!
Hivi nani aliiandika hiyo tena!!!Someni Mithali sura ya 31 yote inaonesha namna gani Mke mwema anavyopaswa kuwa pamoja na kufanya kazi, kutafuta na kununua Mashamba, kuamka mapema, kuchelewa kulala huku akipiga kazi, huucheka wakati ujao! Mwanamke lazima ajue kuitafuta Ngawira Pesa!
Hujauona ule uzi wa avatar zinavyowadanganyaai wishi huyo wa kwenye avatar angekua wewe endi ai wishi i kudu bi araundi.
Shikamooo mkuuSiku ukisikia analiwa na boss wake au wafanyabiashara wenzake ndio utajua nini maana ya mama wa nyumbani..ila kiufupi suala la mapenzi na mahusiano ni pasua kichwa mana hayanaga formulas
Sent using Jamii Forums mobile app
Cku nikiziweka hzo lbda wkt Niko mfuWw unabadili brazilian hair tu
Cku nikiziweka hzo lbda wkt Niko mfukuna vitu hta havitamanishi!!
kumake tyu na usafi ni urembo tosha huko nishatoka mm fake fake fake CIO mshirika!!Unapenda urembo gani ss
Unanitega siokumake tyu na usafi ni urembo tosha huko nishatoka mm fake fake fake CIO mshirika!!