Mwanaume epuka mwanamke maskini

Mkuu umesema kwel lakin nasikitika kichwa cha habari na yaliyomo ni tofaut.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uko vizuri sana upstairs.
 
Pamoja na mwanamke kuwa pambo la nyumba, awe na shughuli ndogo za kuingiza hata pesa ya mboga, Mwanaume mfundishe mkeo namna ya kuwa mbunifu wa kazi ndogondogo. Tuondoe neno goal keeper ni kero. Kwanza kuajiriwa na kujiajiri, jitahidi uwe na kimoja. Katika pitapita zangu wale wanawake waliogiajiri wana kipato kizuri kwa wale wanaojua mahesabu ya pesa .Goal keeper sio neno zuri kwa mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna tofauti kubwa kati ya housewife na umasikini. Na wala housewife hakijawahi kuwa kipimo cha umasikini. Angalia namna nyingine ya kufikisha ujumbe wako kwa maneno sahihi.
 
Sawa ni housewife point yangu pamoja na hayo anaingiza Hata shilingi sawa kama hauna house girl anafanya hizo kazi. Hata mradi wa kuku kwani hujui wewe na yeye nani atatangulia mbele ya haki. Basi sio kila kitu urudi mfukoni kwani ni mkubwa kiasi gani. Hata kama ni mkubwa mkeo lazima ajifunze namna ya kuingiza kipato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafiti zinasema ndoa nyingi zinazodumu/ zenye furaha ni zile ambazo mke ni mama wa nyumbani ( housewife ) ..... hata vitabu vitakatifu vinasema nafasi ya mke ktk maisha ya ndoa ni kulea watoto na kusimamia ustawi wa familia,

Wanaume wengi tumekosea hapa BTW mimi ni Mhenga.....nimeona mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nachosisitiza usimtengenezee mwanamke mazingira ya kuchepuka..bora akae nyumbani alee watoto..we mwanaume kazi yako nini sasa..kama una mruhusu na mkeo akatafute.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huko mtaani anapoishi si kuna wanaume? Au mtaa mzima ni wanawake? Kama MTU akitaka kufanya uchafu atafanya tu whether yuko nyumbani, au kazini. Watu tumeona ma housewife walikuwa na wauza magenge na butcher kwa raha zao na Mme yuko kazini akijisifu mke analea watt. Ogopa sana ana idle mind SAA zote huwa inawashwa tu. So kazi kwako.
 
sawa vidume kazi yetu kufaiti maisha yawe bora siku baada ya siku hatukwepi majukumu yetu,ila hapo kwenye mke aishi kama malkia tuanze na wewe kwanza unaishi kama malkia?
Naishi kama malkia mkuu
 
Hata kama wangejua wanasimamia nini bado chaguzi za Africa na especially East Africa ni kichefuchefu (mbaya) kabisa.
CCM na hasa wapenda ukweli tukubali kutokana na tume hii ya kikoloni ya DED, DAS, DC & RCs.

Lakini kwa sababu ubovu huo ni faida ya watu. Basi tutaendelea kujifanya kutokuona maovu hayo

WaTz nao ni tatizo linaloikabili nchi, kwa kutotia pressure wakidhani ni kazi ya CDM na upinzani peke yao kudai na kupata stahili yao !!

Cairo's
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…