mkulungu mkuyengo
JF-Expert Member
- Feb 5, 2015
- 786
- 566
sawa vidume kazi yetu kufaiti maisha yawe bora siku baada ya siku hatukwepi majukumu yetu,ila hapo kwenye mke aishi kama malkia tuanze na wewe kwanza unaishi kama malkia?Mwanaume uliumbiwa kuhangaika we tafuta hela tu hiyo ndio kazi yako ili mkeo aishi kama malkia
Ni kweli kabisa,tutafute woteeeHata sisi tunawaepuka mkiwa maskini
wewe uko vizuri upstairs.
sahihi.Kuna ukweli flani kwenye psychology wanasema ili kuwa na afya njema usiwe masikini na ikitokea ukiwa masikini usiwe katika hiyo hali kwa muda mrefu
Ujaeleweka,mwanamke masikini n yupo hapo#Ndugu nawashauri kwa wale ambao mnategemea kua na mahusiano ya kudumu.Epuka mwanamke mvivu anayeshinda anaangalia TV na kuchati.Mwanamke anatakiwa awe na vijimiradi au vyanzo vya hela.Kumbuka kuna kifo na hatujui atakaetangulia.Je mwanaume ukatangulia ni nani atawalea hao watoto?.Japo kuna mila zingine zinadai mwanamke pambo la nyumba,lakini kwa sasa zimepitwa na wakati.Mwanaume epuka mwanamke goal keeper.
Anashinda anchek TV, ana chat ,lookn laziness n kwasababu tu hujamuezesha..Ndugu nawashauri kwa wale ambao mnategemea kua na mahusiano ya kudumu.Epuka mwanamke mvivu anayeshinda anaangalia TV na kuchati.Mwanamke anatakiwa awe na vijimiradi au vyanzo vya hela.Kumbuka kuna kifo na hatujui atakaetangulia.Je mwanaume ukatangulia ni nani atawalea hao watoto?.Japo kuna mila zingine zinadai mwanamke pambo la nyumba,lakini kwa sasa zimepitwa na wakati.Mwanaume epuka mwanamke goal keeper.
Hahahahhaaa hahahahhaaa.... Nimetabasamu asubuhi hiiHata sisi tunawaepuka mkiwa maskini
lol wanasema utamu wa ngoma uingie ucheze ndio utajua,mkuu wewe Adha unaijua na trust me nakuelewa wapo wanawake wengine hua sio wastarabu wakiwa na viji senti..
Mkuu unajua wanaume wengi hua hawapendi wake zao wafanye kazi sababu wanakua na mawazo mengi au kwa wanayo yaona maofisini, mimi binafsi mume wangu hataki nifanye kazi wakati alikunikuta nafanya kazi,nikamwambia tuna watoto kuna leo nakesho,sipendi nilie mumewangu umeniachia watoto ntawaleaje ila nataka nilie sitompata mume kama weweNdugu nawashauri kwa wale ambao mnategemea kua na mahusiano ya kudumu.Epuka mwanamke mvivu anayeshinda anaangalia TV na kuchati.Mwanamke anatakiwa awe na vijimiradi au vyanzo vya hela.Kumbuka kuna kifo na hatujui atakaetangulia.Je mwanaume ukatangulia ni nani atawalea hao watoto?.Japo kuna mila zingine zinadai mwanamke pambo la nyumba,lakini kwa sasa zimepitwa na wakati.Mwanaume epuka mwanamke goal keeper.
Mmeo ana wivu wa kugongewa, hii inategemea lakini kama wewe sio mtu wa ku entertain wapuuzi na kucheka cheka nao sijui chattings wivu hauwezi kuwa kero ila kama unat tabia za kijinga ni ngumu kuwa na amani nae!Mkuu unajua wanaume wengi hua hawapendi wake zao wafanye kazi sababu wanakua na mawazo mengi au kwa wanayo yaona maofisini, mimi binafsi mume wangu hataki nifanye kazi wakati alikunikuta nafanya kazi,nikamwambia tuna watoto kuna leo nakesho,sipendi nilie mumewangu umeniachia watoto ntawaleaje ila nataka nilie sitompata mume kama wewe
ikiwa utatangulia wewe na nikitangulia mimi basi uitakua nimekusaidia japo kidogo kwenye maisha japo kusomesha watoto
lakini kuna siku anaamka kwani lazima uende kazini? hawajua kama una familia sasa haya mambo mkuu ni kila mtu anavyo lichukulia kwenye mawazo yake lakini mimi nakubaliana na wewe kua maisha nikusaidiana na kama mke hana uwezo wakufanya hata biashara basi hata akilea watoto pia nayo sio kazi ndogo..
Kabisa.mwanamke kaziTunalijua hilo ndio mana na sisi kwa miaka ya sasa wanawake hatutaki kuwa magolikipa kwa sababu kwa baadhi ya wanaume wakioa mwanamke asiyejishughulisha basi huyo mwanamke ajiandae kwa manyanyaso.