Mwanaume epuka haya makosa uishi maisha marefu

kipengere namba 3 ibara na Aya ya kwanza
Hapo nimeshindwa kuelewa rafiki

"USIMWAMINI MWANAMKE" mwamini tu mama yako 100%
hahah sasa mama yako nae si ni mke wa mtu
coz mumewe tu hamwamini
sembuse wewe!

kama inshu ni kuamini mwanamke kwamba kila mwanamme asimwamini mke au mpenzi au mchumba basi
hata huyo mama yako unaemwamini 100%
kumbuka nae ni MKe wa mtu (baba yako)
hivyo mumewe (baba yako) hamwamini mke wake (mama yako)
je wewe ni nani hata umwamini hizo tena 100%???

hahaha nadhani swala la uaminifu tuliache tu hiyo ni personal sana
individuality
We na huyo mwenzio mnaoleta hoja ya baba mnachanganya madawa. Nitakupa mfano rahisi tu, unaweza kuwa na rafiki yako mmetoka mbali sana ambaye wewe unamuamini kwa 100%, hiyo haitamaanisha kwamba watu wote wanamuamini Kama wewe. Kwahiyo basi suala la kuwepo watu wasiomuamini rafiki halikuzuii wewe kumuamini.

Tukirudi kwa mama yako, yule unamuamini kwa sababu ni mama yako. Mama yako anaweza kukubali kuumia kwa sababu yako kwa sababu alikuzaa tofauti na baba yako ambaye hana undugu naye. Kumbuka baba yako naye ana mama yake, hivyo basi na yeye atamuamini mama yake.

Ila nimegundua wabongo wengi tuna shida kubwa sana ya kureason logically!
 
Nakumbuka mmoja kipindi yuko chuo ailikuwa anamuambia mchumba anayemsomesha maneno kama haya wakati akiwa chiu kitandani kwangu
Hahahahaha nimerudia kusoma mara mbili mbili ila nilichoelewa imenibidi nicheke mzee baba! Kumuamini mwanamke inahitaji uwe na mental dis-order kidogo maana kwa sisi tuliowahi kuumizwa ni kama kuamini CCM itaifanya TZ kuwa kama Libya ya RIP Gadafi
 
Mkuu mimi nina mpenz mmoja niliemkabidhi moyo ila nasema huu uzi ni ukweli mtupu.
Bila shaka kashaanza kukupelekesha, halafu inaanzaga kama utani! Ogopa sana mwanamke anaejifanyaga mtakatifu sana mwanzoni, anayejifanya anaogopa kuumizwa hao ndio wanakuwaga majambazi sugu! Anajidai anahitaji sana umuamini, ukikosea hapo tu umeliwa baba la baba!
 
Bila shaka kashaanza kukupelekesha, halafu inaanzaga kama utani! Ogopa sana mwanamke anaejifanyaga mtakatifu sana mwanzoni, anayejifanya anaogopa kuumizwa hao ndio wanakuwaga majambazi sugu! Anajidai anahitaji sana umuamini, ukikosea hapo tu umeliwa baba la baba!
Hahahaha
 
Muamini mpenzi wako ila asijue kama unamuamini hata siku moja, akikuweka kwenye chungu cha uaminifu umekwisha, anaeza liwa hata kwenye bustani ya maua nje kwako we ukiwa ndani sebuleni! Its hard to trust a woman and very painful when the trust is breached!
Hilo somo zuri Sana kuna jamaa alimuamini mkewe akawaanamuita mama, mwanangu akaenda kusoma marekani huku anafanya vibarua huko anatuma hela za ujenzi, kumbe mwanamke yuko na kajamaa ndo wanatumbua, jamaa karudi hamna cha nyumba wala kiwanja ndo maana, Petro anatutaadhalisha tuishi nao kwa akili. Ila kuwa nao wengi halifai.
 
Na hiyo tabia yao wanaita kudanga wanafikiri wanafanya jambo la maana, kumbe upuuzi tu. Na kuna mademu kibao wanaishabikia humu, wanaume tuweni makini na pesa zetu tafadhali usije kujikuta umeingia gharama kubwa kwa janamke lipuuzi lipuuzi tu ukajikuta unaumia bure.
HAhahah, ngoja wakuskie waje kupasuka hapa!
 
Maada tamu sana! Hili nilikuwa nalijua kitambo sana, mwanaume unatakuwa kuwa na wanawake wengi ikibidi kila mkoa. Nilipomwagana na wife sikupata shida, huyo anatoka mwenzake anaingia. Tusiwaonee huruma hawa kiumbe. Wanaume tubadilike.
ungekuwa huna spare tyre ungesaga meno, kuapata mwanamke ukiwa huna mwanamke ni shughuli pevu! Sawa tu na kutafta kazi ukiwa huna kazi
 
I wish na ninaemsomesha awe na roho kama yako..mana kuna mtu namsomesha tangu akiwa form five hadi sasa anaingia chuo mwaka wa pili hapa Udsm.kiukweli akija kubadilika sijui maisha yangu yatakuwaje maana namgharamia sana na nategemea awe ni mke wangu
Subiria Degree iishe umtafutie kazi kabisa kisha utafurahia show mzee baba! Sio kama alipo hajawaona wa kukuzidi, piga moyo konde tu,,,ulete mrejesho siku moja katika hio mission yako!
 
Hiyo point namba 4 naiunga mkono. Inanikumbusha machungu sana. Nilimsomesha Mke wa ndoa Chuo. Nilichokibaini alipomaliza chuo ndio kinaniumiza hadi sasa.
Vipi alitatuliwa malinda nini, hahahaha! Umeandika kwa uchungu sana mzee baba,hebu piga funda moja la maji kisha elezea ulibaini nini kiongozi!
 
hayo maneno yako hayaaminiki 100%, kuna siku utambadilikia esp 2nd semester hadi 2nd yr
Huyu kaolewa atleast uhakika upo, mbaya ni wale wanaosomeshwa kienyeji ukitegemea pay in kind! Lazma uumie akishikwa maskio na wale jamaa wanaokujaga na gari za ma boss zao mitaa ya chuo jioni jioni!
 
Na 3 ni hoja yenye mashiko ila inakinzana kwenye mzani,huwezi ukahonga bilia kupenda period
 
wakati tunaoa tulifanya hivyo tukiwa na mategemeo kuwa tutaacha kuchepuka na kutulia ,ila stress za wanawake hasa hawa walio kwenye ndoa hufanya watu wachepuke,
usimuamini mwanamke anakuchejia muda wowote,ishi na mwanamke kwa akili sana ukiwa zuzu utakua unalia kila siku
Tafuta sehemu ya ziada ya kupunguzia stress akizingua unapita upande wa pili unaweka mambo sawa unarudi home unapiga usingizi mambo yanakua safiii kabisa
Nadhani wengi huoa wakitarajia ndoa ni kama pepo flani ila baada ya miaka kadhaa tu mambo huwa juu chini, hapo ndipo michepuko inapozukia! Ila kwa uzoefu kero kubwa huanza kwa mke kushindwa kutimiza wajibu wake sawasawa!
 
Back
Top Bottom