Kwa jinsi ulivyokuwa honesty nimekupenda bureKazi kweli kweli. ....sometimes sis wanawake huwa tunademand vitu vya ajabu
Wenzie wanataman wanaume wanaorud mapema ...yy anamlazimisha achelewe......cjui ni nature yetu au aje
Anyway mmcna ushauri...ngoja waje wazoefu
Eeheee.... Makubwa haya... Haki some women have issues. Thanks..Jamaa yangu anaambiwa na mkewe achelewe kurudi kama wanaume wengine.
Mshikaji hapigi tungi hapendi soccer michepuko mara chache.Amekuwa benet na mimi.Namuona anaboeka anakunywa maji tu na soda mpaka saa tano,hata derby kali vipi anasinzia.Kisa mkewe kamkataza asirudi mapema home.
Swali:Kwani mwisho wa sisi wanaume kurudi home ni mida gani?Na tumshauri afanyeje?