Mwanaume Bora anipige kwa 'dyudyu' kuliko ngumi

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,921
14,820
Kama nilivyoandika ndivyo nilivyomaanisha

Kusema kweli me naonaga Mapenzi ambayo hayajawekwa kwenye mtandao yanakuwaga ya kweli kuliko haya ya mitandao

Pia hakuna wanawake wanaopata tabu sasa mjini (Bongo) kama ma-slay queen's👸

Wanaume wetu WA kitz hawajazoea saaana mitandao, unapomuweka kwenye mitandao unakuwa umembananisha sana kwenye kitu kinachoitwa "Uhuru wake''

Ukiachilia mbali yaliompata mwanangu SHILOLE (nampa pole nyingi Sana na Mungu amfanyie wepesi) lakini hawa wanaojiita ma-slay queen's wanapigwa sanaaa na kufanyiwa unyama na watu wasio maarufu mitandaoni, Kwasababu naongeaga NAO Kila mwezi na wanafunguka hivyo, mpaka unajiuliza kwanini wanajiita ma-slay queen's... Sio kupigwa ngumi pia wananyanyswa kingono na mengine mengi🚶🚶

Kwa wale mnaopenda umaarufu hapa Bongo na mnatamani muwe ma-slay queen's siwashauri kabisa asee,😡

Mimi kama Kungwi ambae sio certified, nashauri NI Bora mwanaume akupige Kwa dyu-dyu Yake kuliko ngumi ya mkono, mateke au Kwa kutumia silaha yeyote🏃🏃🏃

Watoto wangu na wadogo zangu mlioko huku nishawaeleza tena na tena, kumtegemea Sana mwanaume sio dawa na kujitangaza kwenye mitandao wakati mwanaume wako Hana hela kama Mimi hapa sio dawa ya kuonekana inapendwa au na wewe upo kwenye Mapenzi

Narudia tena, Bora mwanaume akupige na dyu-dyu kuliko 💪👊
 
Back
Top Bottom