Mwanaume asiyekunywa pombe,kuvuta sigara eti ulevi wake ni wanawake?

Sabung'ori

JF-Expert Member
Jul 19, 2011
2,166
1,247
Nawasabahi waungwana...maranyingi ktk mijadara isiyorasmi swaala hili limekuwa likijadiriwa na mwisho wa hiyo mijadala watu wamekuwa wakikubaliana kuwa ni kweli kwamba wanaume wasio-kunywa pombe,kuvuta sigara au starehe nyingine inayo-fanana na hizi,starehe yao ni kufanya mapezi na wanawake.Sijui utafiti huo ulifanyika wapi lakini ndo hivyo huku mitaan watu wanavyoamini.Sasa ngependa kujua je na wanawake nao wasiokunywa pombe,kuvuta sigari au mambo yanayo fanana na hayo nao starehe yao ni kufanya mapezi na wanaume??.Najua humu JF kuna wenyeufaham mpana watanielewesha vizuri...NAWASILISHA
 
Wengi wanasema hivyo nikiwa kama mwanamke kwaupande wangu nasema sio kweli labda tusubiri mashostito wengine watueleze...
 
Nawasabahi waungwana...maranyingi ktk mijadara isiyorasmi swaala hili limekuwa likijadiriwa na mwisho wa hiyo mijadala watu wamekuwa wakikubaliana kuwa ni kweli kwamba wanaume wasio-kunywa pombe,kuvuta sigara au starehe nyingine inayo-fanana na hizi,starehe yao ni kufanya mapezi na wanawake.Sijui utafiti huo ulifanyika wapi lakini ndo hivyo huku mitaan watu wanavyoamini.Sasa ngependa kujua je na wanawake nao wasiokunywa pombe,kuvuta sigari au mambo yanayo fanana na hayo nao starehe yao ni kufanya mapezi na wanaume??.Najua humu JF kuna wenyeufaham mpana watanielewesha vizuri...NAWASILISHA
Watu wengine ni watu wa ajabu sana wewe si ndio ulikuwa unasapoti Jukwaa la MMU liondolewe kule kwenye Jukwaa la Malalamiko sasa nashangaa unaposti tena hapa kama sio umasaburi ni nini

Tena posti yako hii hapa chini

..mkuu mimi naunga mkono hoja 100%,ni kweli taifa liko ktk wakati mgumu sana yaani nikama vile tuko vitani ingawa wengi walio-tangulia kuchangia hapo mwanzo hawajaioni hatari iliyombele yetu kama taifa.

Uhusiano na urafiki unaohitajika kwa hivi sasa ni wakuunganisha nguvu zetu sote kwa pamoja tumkabili adui aleye-mbele yetu,alfu tukisha shinda tujipongeze kwa tusheherekea na wapenzi wetu,hapo ndo ata mapenzi yatakuwa matam.Lakini kwa wakati huu ambao kila siku ukiamka anasema afadhali ya jana!.sijui ata hayo mapenzi yanafanyikaje!?...,ebu jaribu fikiria,risasi zinarindima mabom yanalipuka watu wanapoteza maisha majerui wakimbizwa hospital(INDIA) wewe umo tu unafikiria mapenzi!?,ata kama kweli wewe ni bigwa wa mapenzi unaweza kufanya hayo mapenzi ktk mazingila kama hayo!!??...Ebu tuyawekeni hayo mambo pembeni kidogo tuangalie kesho ya watoto wetu itakuaje

...kumbuka "PENZI NI KITOVU CHA UZEMBE!"...​
 
Ulevi ni ile hali mtu kulewa baada ya ku2mia kilevi!
Kilevi ni kile kitu kinacholewesha,sasa mtoa mada mwanamke hawez kuwa kilevi!
KINGNE,mimi c mlevi wala c mvutaj wa sigara,lakin wanawake nao cpo nao close,so hyo dhana ni uongo
 
Inaweza kuwa kweli...au si kweli!
Mtu anaweza akawa mlevi wa kila ulevi, na akawa noma kwa wanawake vilevile.
Kuna mwengine anaweza kuwa si mlevi wa chochote, na hana hobby kabisa na wanawake!...!
Cha msingi hapa tuseme kuwa hbbies zinatofautiana kati ya mtu na mtu, wala si kuspecify mambo ya pombe na wanawake!
 
Sinywi pombe wala sivuti sigara, ulevi wangu ni kusifu na kuabudu nyumbani mwa BWANA YESU.
ameen bujibuji.
ila sio kwamba wanaume wasiokunywa pombe na kuvuta sigara ndio wapenda wanawake ila tu ni tabia zao pia wasichana pia sio kwamba
wasiokunywa pombe na kuvuta sigara ndo wapenda wanaume ila nao ndo tabia na utaratibu wao tu wa maisha.
 
Ulevi unaoongelewa hapo ni hali ya kupenda kitu fulani kwa sanaaaaa. Kuna ulevi wa pombe, ulevi wa sigara, ulevi wa ngono n.k.

Katika hali ya kawaida kila binadamu ana kimojawapo anachokipenda zaidi. Ndio maana watu wakasema kama hupendi pombe basi utapenda sigara, au wanawake, au wanaume, au chochote kile. Elewa wanawake ni binadamu kwa hiyo nao wana ulevi kama wanaume hivyo wapo wenye ulevi wa wanaume.
 
Siwezi ku generalize ila tulikuwa na jirani yetu nikiwa mdogo dini yake ilikuwa haimzuii kunywa ila yeye alikuwa hanywi kabisa; ila siku anazolala kwa mkewe zinahesabika. Watu kitaani walikuwa wanaongelea hiyo theory reference ikiwa yeye. Utasikia "Jamaa ulevi wake wanawake; watu wasiokunywa kwa wanawake noma"
 
Mimi c mlevi wa chcht ktk mtoa post alivyoviainisha bt swali lake lime'create another quiz kwangu! HV INAPOSEMWA MR/MISS "A" NI MLEVI WA WANAWAKE/WANAUME inaleta maana ipi? Nilivyo mie nina mwanamke mmo1 tu! Na kw vl ctumii vilevi tajwa huyu mwanamke ndy kilevi chng mchana namsukumia bao mbili & uck mbili-3 maximum bao 5 per day, tofauti na hapo lbd awe "msimbazi" ndy mi napumzika KULEWA, swali hapa namie niitweje? Mlevi wa mwanamke? Italeta maana? Mtoa post anasema ili uitwe mlevi c.v ni WANAWAKE (zaidi ya mmo1) mimi nalewa kw MWANAMKE mmo1.
 
Kuna chance kubwa mkeo akisafiri ukalewa na wanawake wengine maana sex kwako ni kipaumbele huna other ways za ku past time.

Mimi c mlevi wa chcht ktk mtoa post alivyoviainisha bt swali lake lime'create another quiz kwangu! HV INAPOSEMWA MR/MISS "A" NI MLEVI WA WANAWAKE/WANAUME inaleta maana ipi? Nilivyo mie nina mwanamke mmo1 tu! Na kw vl ctumii vilevi tajwa huyu mwanamke ndy kilevi chng mchana namsukumia bao mbili & uck mbili-3 maximum bao 5 per day, tofauti na hapo lbd awe "msimbazi" ndy mi napumzika KULEWA, swali hapa namie niitweje? Mlevi wa mwanamke? Italeta maana? Mtoa post anasema ili uitwe mlevi c.v ni WANAWAKE (zaidi ya mmo1) mimi nalewa kw MWANAMKE mmo1.
 
Nawasabahi waungwana...maranyingi ktk mijadara isiyorasmi swaala hili limekuwa likijadiriwa na mwisho wa hiyo mijadala watu wamekuwa wakikubaliana kuwa ni kweli kwamba wanaume wasio-kunywa pombe,kuvuta sigara au starehe nyingine inayo-fanana na hizi,starehe yao ni kufanya mapezi na wanawake.Sijui utafiti huo ulifanyika wapi lakini ndo hivyo huku mitaan watu wanavyoamini.Sasa ngependa kujua je na wanawake nao wasiokunywa pombe,kuvuta sigari au mambo yanayo fanana na hayo nao starehe yao ni kufanya mapezi na wanaume??.Najua humu JF kuna wenyeufaham mpana watanielewesha vizuri...NAWASILISHA

There is no formula for human behavior!
All the answers you will get from this forum is just guess work and assumptions.
 
Watu wengine ni watu wa ajabu sana wewe si ndio ulikuwa unasapoti Jukwaa la MMU liondolewe kule kwenye Jukwaa la Malalamiko sasa nashangaa unaposti tena hapa kama sio umasaburi ni nini

Tena posti yako hii hapa chini

...mkuu taratibu,kama ungekuwa muungwana ungeniuliza kulikon mbona nmekuja huku ngekujibu,lakin umekuwa na maandiko yasiyo-faa sina la kukujibu.
 
Jamani ni diana tu.tabia haijalishi umekunywa pombe au la,kama unapenda wanawake ni hulka ya mtu tu..zii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom