Mwanaume apewa talaka na mkewe

Hawa watu duuuh.
Au bibie kashapata mchekupo kaamua kutoa kisingizio.
Jamaa nae kapenda sana.
 
Hahahaaa. Kupendwa raha sana Mangi ujue.

Kweli haitakaa itokee aisee yaani kupoteza bahati kama hizo kirahisi kwa kitu ambacho mtu akiamua akipiganie kiwezekane inaweza ikawezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…