Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Habari wanajamii forum
Katika maisha haya ambayo tunaishi nimegundua wanaume wengi tunashindwa kupata wanawake kutokana na sababu kuu mbili ambazo mimi nimeziona .Kuna aina mbili za wanawake ambao wanaume wengi tumekuwa tukizioa
1.Wanawake wanaotupenda
Kupata aiana hii ya wanawake ni ngumu sana kwa miaka mingi kuanzia ulimwengu uanzishwe.Wanawake wa kundi hili mara nyingi hawana mvuto mzuri wa sura wala shepu na mara nyingi wamekuwa wakijitoa hata maisha yao kwa ajili ya mwanamume fulani lakini wengi wa wanaume hawaangalii katika jicho la tatu na huishia kwa kudharauliwa na kila aina ya kejeli
2.Wanawake wanaotutegemea
Aina hii ya wanawake ndio imetawala dunia.Wanawake wa aina hii humpenda mtu kutokana aidha ana akili darasani,ana pesa,anajua kuimba,anapendeza au kitu kingine na endapo vitu hivyo vikiondoka au mwanaume akipata ulemavu mapenzi yote huishia hapo na wanawake wengine humpenda mtu ili atatue matatizo yake.
Sasa kwa hayo wanaume wenzangu tuangalie je wake zetu,magirlfriends zetu, je ni wanawake wanaotupenda au wanaotutegemea
Wasaalam......