Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,613
- 65,074
Msiwe busy kupitiliza mkasahau wake homeAnaolewa na mkurugenzi wa TRA afu anagongwa na msukuma mkokoteni
Ndio maana nimesema, vyote viwili vinatakiwa viende kwa pamoja; ukiona watu wanaenda jim wanaenda kuimarisha nguvuAnaolewa na mkurugenzi wa TRA afu anagongwa na msukuma mkokoteni
Unahitaji faraja, pamoja na full package ya hivyo vitu viwili.I wsh ningejaaliwa wa ivo,bahati mbaya wanapatikana wa mbona we unakaz.Kila kitu kinakuelemea
Kwa kweliUnahitaji faraja, pamoja na full package ya hivyo vitu viwili.
Hivyo vitu viwili ni muhimu sanaHiii ni zaidii ya ISIDINGO mtakujaa na tafitii lakinii wapii
We unapenda vyote, au kimoja tu?Ndiyo
Muda ukifika utapata tuKwa kweli
VyoteWe unapenda vyote, au kimoja tu?
Msiwe busy kupitiliza mkasahau wake home
πππ sawaVyote
Ngoja tuoneMuda ukifika utapata tu
ππNgoja tuone
Huwezii ukawa navyo vyotee kama unaupiga mwigi kwa bedi basi kwa wallet hamna kitu au ukiupiga mwingi kwa wallet kwa bed sifuriiHivyo vitu viwili ni muhimu sana
Watu ni wanajeshi kazi kazi bills wanalipa bado anagongewa.Ndio maana nimesema, vyote viwili vinatakiwa viende kwa pamoja; ukiona watu wanaenda jim wanaenda kuimarisha nguvu