Mwanaume anapomtaka mwanamke

huko ni nje,
na kwa kuwa persistence ya kuita "bebii" ni ngumu ndo mana divorce rate iko kubwa.
Ukiacha kuita tu anajua humpendi, talaka.
Hivi utachokaje au ugumu utaanzia wapi kama tu iwapo kipindi unaita hivyo ulikua unamaannisha? Hapo mimi ndo sipati jibu mweee. Mimi wakwangu hajachoka na tunakata miaka ukitukuta kama tupo wachumba vile. Na waweza usiamini mpaka uwaone wanetu ndo utagundua kumbe sisi tumekongoloka.
 
Mawasiliano ndio kazi kubwa sana kwa wanandoa na hili ni tatizo sugu. Kuna ndoa flani niliitwa kusikiliza bwana . Baba alikua anapiga teke mlango na mama chakula alikua anaweka kabatini. Sasa nilipouliza chanzo cha matatizo yao nikagundua ni mawasiliano tu na kumbe kila mmoja alikua anampenda mwenzie. Nikawapa mbinu na namna ya kuanza mawasiliano . Tulijitahidi kuwatembelea kila mara mimi na hubby wangu. Bwana baada kama ya miezi 2 walikua wapo kwenye mstari vizuri kabisa na mpaka leo wako poa wanapendana na wanaishi vizuri sana.
 

mi kweli mawasiliano ni muhimu sana namshkuru mungu siwekagi kitu moyoni namweleza makavu tunasuluisha maisha yanasonga
 

Upo sahihi mdau maana inabidi tubadilike kutokana na wakati maana kila siku mtakua mnaonana wapya
 

Watu wakishaanza kuitana baba flani au mama flani wakati mwingine nayo huchangia kiasi kwamba unamchukulia kama mzazi mwenzako tu kumbe ni zaidi ya hapo, mtu akifika tu nyumbani karibu baba flani alafu mnaangaliana, nadhani sijui na mazingira tunayoishi kwenye hizi nyumba zetu za uswazi kwa wale wanaopanga nyumba ya watu wengi wanakuwa limited na kujiachia plus family member wengine kwenye room zetu na sebule kwahiyo inawajenga wanakuwa sugu (nimejaribu kuliangalia kwa angle hii though bado simu ipo applicable au hata sms)
 


Japo mapenz hayana kanuni lkn kwng binafsi hakuna kitu nachodhan kinatia hamasa ktk mapenz kama mwanamke kujictir for sometime sas unakuta m/ke kwa7bu ni mume na mke basi kila ukiingia chumban unakuta ke maungo yake yako nje muda mwingi mara night ukiomba game naye hata hasumbui hata kidogo anakupokea mapemaaa lazima tuchoke sitirin maungo yenu mpaka muda hucka ndo yaonekane pia muwe mnazingua kidogo mnapobembelezwa ndo midadi inapanda zaid darling honey hazitokoma
 
majirani waniite mama kadadaa na yeye aniite hivo haikuji kabisa angalau kidogo jina langu kuliko mamaa kadadaa

Hata ukiitwa "mama watoto wangu" bado utakataa?
 
@CALMAN Upo sahihi mkuu na itakua vema wahusika wakizingatia mawasiliano. Pia ubunifu unatakiwa mno ili kuboresha maisha ya ndoa .
 
mi kweli mawasiliano ni muhimu sana namshkuru mungu siwekagi kitu moyoni namweleza makavu tunasuluisha maisha yanasonga
Hapo umenifurahisha sana , ni kweli mambo ya kuweka moyoni hayafai kabisa ni bora kuelezana. Halafu huwa naupinga mtindo ambao wanandoa wengine wanautumia sana wakiwa na kutoelewana hupenda kuita watu wawasuluhishe. Kiukweli mimi niliikataa hii toka nikiwa msichana kama kuna jambo tunamalizana wenyewe wawili.Kwa sababu kama tulikutana wawili na kukubaliana kuoana so sioni kwanini nisimkabili mwenzangu na kumueleza ambacho sikielewi juu ya jambo flani sema ukitaka kufanya hivi ni lazima utumie hekima na si vizuri kuongea ukiwa umekasirika.
 

ni kweli kwasababu unayemueleza matatizo yako unamuamini vipi hakuna siri siku hizi ni wewe na mumeo muyamalize. aaminiwi mtu siku hizi
 

makubwa haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…