mwanawao
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 3,222
- 5,890
Hv wanaume wanapokuwa na tabia za kimbea fulani kafanya hv m, mama j alipigwa jana, unajua baba G alifumaniwa jana n.k n.k.
Hv huyu boyfriend au mumeo unaweza sema upo na mwanaume ndani kweli! Jamani wanaume tabia za kimbea waachiwe wanawake bana khaaaaa....
Hv huyu boyfriend au mumeo unaweza sema upo na mwanaume ndani kweli! Jamani wanaume tabia za kimbea waachiwe wanawake bana khaaaaa....