Mwanaume ananipasua kichwa

Jina lako lilipaswa liwe CHIZI LA MILEMBE nilijua nimewahi kupendwa mpaka pale nilipokutana na mwehu kama wewe ,la kushukuru MUNGU wewe sio ndugu yangu, NB: Kuna chumba tabata baracuda self njoo nikupangishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nyie mnaemponda huyu dada akiachikia mnauwezo wa kumfikisha??

mwenyewe anasoma comments zenu huku anajisema "tatizo hawa hawajui tu" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi hapa wazazi ndiyo wanakosea au vijana....wewe hauna wazazi! Au kaka waliokuzidi umri! Hawaoni uyafanyao kama yanakuletea matatizo?


Ishi kwenu kama mchumba atakuja kukufuata kwenu.
Hawa wa hivi huwa wanakuwa wajuaji kupitiliza, watu mwisho wa siku wanaamua kumkalia kimya. Huyu dada ni Msukuma aliyeenda shule kidogo,
 
Kama hupendwi si usepe njooo hata kwangu

sent from toyota Allex
 
Hapana kama unapanga akija kuhamia kwako utajuta, kama utaenda kukaa kwao utajuta. Akapange ndio akuite
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…