Alafu pesa inaonekana ni za mtoa maada. Sema jamaa alikua hasemi. Vinginevyo familia isingemchukiaAna matumizi mabaya ya pesa ukute kwao alikuwa analisha na family yake.
Najua umenielewa mkuu,acha kunichonganisha na mleta mada,Hahahaa!Una maanisha kwamba.....
Kusaidiana kupo kwenye mahusiano ila inategea huyo unayemsaidia kichwa kiko vyema kama ni kweli mtoa mada anastahili pole.Alafu pesa inaonekana ni za mtoa maada. Sema jamaa walikua hasemi. Vinginevyo familia isingemchukia
Dont judge book by the cover, kuna dada wa kihaya USA anajiita milembe yuko vizuri sana upstairs.Umefanya vizuri kuchagua jina la hiyo ID yako na kujiita Millembe
Kweli anahitaji pole. Labda mtoa mada atuelize ana umri gani maana kukaa kny mahusiono miaka 7 huyu ni mtu mzimaKusaidiana kupo kwenye mahusiano ila inategea huyo unayemsaidia kichwa kiko vyema kama ni kweli mtoa mada anastahili pole.
Wapi nimehukumu mkuu? mimi naona wewe sasa ndio unanihukumu mimi kwa kutumia assumption zako tu! ila sikulaumu..Soma signature yangu imemaliza kila kitu.Dont judge book by the cover, kuna dada wa kihaya USA anajiita milembe yuko vizuri sana upstairs.
Ukiacha unavyojua wewe ili pia ni jina la mtu kama MusaUmefanya vizuri kuchagua jina la hiyo ID yako na kujiita Millembe