Kwanza kitendo cha nyie kuishi nyumbani kwa wazazi wake ni kosa la jinai!
Kosa lingine la jinai ni wewe kutaka utumie chumba chako kuolewa badala ya huyo kibwengo kupanga chumba yeye ili muweze kupanga maisha yatakavyokuwa na si kungonoka tu.
Kama haujawahi kulia na kuyalaani maisha yako, basi wewe jichangnye utumie tena gharama zako kumhifadhi huyo kima anaeng'ang'ania nyumbani kwa wazazi wake zaidi ya miaka 7 kama kupe tena na kutaka kuolea nyumbani kwao kabisa
Huyo mvulana wako atakuharibia maisha japo unaonekana una umri mzuri tu wa kutafakari mambo