Mwanaume anae jua hii list, lazima awe na true love

Shao Po Lang (SPL )
Okopa sana muvi jambazi akiwa Sammo hong...mzee anajua kuvaa uhusika wa kimafia hatari.

Atakae weza afungue uzi tuje tujadili muvi za wachina Toka enzi za Akina Stephen chang hadi Jet Li then hadi huku kwa akina yuen biao. Chini ya baba lao Yuen woo ping
Are you virgin?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo movie naikumbuka vizuri sana, nakumbuka katika list zake za mtindo huo kuna moja hivi inaitwa "shaolin VS lama" nilikua napenda kuiita "shaolin visa vya lama"

Kuna mikebe humo yani sio kinyonge
Sasa muvi za hvo nimecheki kibao. Nyingi sana daah.
Akina Alexander lou
 
Anzisheni uzi sasa tuje tuchangie kuhusu Chinese Cinemas. Maana ninamengi😊😊

Nataka nikupe muvi moja moja ya hao watu natumai utapenda sana
Anza na Millionaires Express au Wheel On meals (jina ni hilo ila nahisi nimegeuza maneno)

Hii ndo ile movie Jackie Chan alimsalimia Nigga fln pande la mtu mambo yakawa hivi..

Jackie Chan: What's up my nigga?
Nigga(pande la mtu) : What did you say???
Jackie Chan (akisita sita akihofia amekosea matamshi):. WH..AT..UP M..Y NI..GGA

😆😆😆lijamaa lilimkaba manusura Jackie Chan akate moto
 
Halafu Jack chan akalitekenya right??
Hiyo ni kipanya na msosi in Lufufu voice. Wheel on meal
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom