Mwanaume anae jua hii list, lazima awe na true love

Muvi Kali ni 14 blades , Kung Fu jungle, na ice man 1. Ip man 2, Tiger cage , in the line of duty, Dragon.
Hii 14 blades bonge la muvi hasa ukiangalia Donnie alizidiwa uwezo na adui ambaye ni binti. Ambaye anagawa kichapo mpaka bas

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeiona Painted skin? Umeona muvi moja jina linaishia na Inn. Za donnie zote!!
Ni muvi cheche za donie sijaona mm
 
Shao Po Lang (SPL )
Okopa sana muvi jambazi akiwa Sammo hong...mzee anajua kuvaa uhusika wa kimafia hatari.

Atakae weza afungue uzi tuje tujadili muvi za wachina Toka enzi za Akina Stephen chang hadi Jet Li then hadi huku kwa akina yuen biao. Chini ya baba lao Yuen woo ping
Ukifungua usisahau kunitag, nina collection kibao za old skul movies za kichina
 
Mimi nataka mfungue nyie. Maana mm nikifungua nitaandika gazeti..
Unamjua Alexanda Fusheng?
Na ndio sababu ya msingi tunataka ufungue

Hao kina alexanda fusheng siwakumbuki labda uniambie movie yake iliyotrend
 
Na ndio sababu ya msingi tunataka ufungue

Hao kina alexanda fusheng siwakumbuki labda uniambie movie yake iliyotrend
Huyo jamaa kacheza muvi miaka ya 70 alikua anafanana na Jack kafa mwanzoni mwa 80. Kundi lake lilikua akina Steven chang muvi ya maarufu ni 5 master from shaolin.

Ngoja nikipata muda nitaandika
 
Huyo jamaa kacheza muvi miaka ya 70 alikua anafanana na Jack kafa mwanzoni mwa 80. Kundi lake lilikua akina Steven chang muvi ya maarufu ni 5 master from shaolin.

Ngoja nikipata muda nitaandika
Hiyo movie naikumbuka vizuri sana, nakumbuka katika list zake za mtindo huo kuna moja hivi inaitwa "shaolin VS lama" nilikua napenda kuiita "shaolin visa vya lama"

Kuna mikebe humo yani sio kinyonge
 
Anzisheni uzi sasa tuje tuchangie kuhusu Chinese Cinemas. Maana ninamengi

Nataka nikupe muvi moja moja ya hao watu natumai utapenda sana
Anza na Millionaires Express au Wheel On meals (jina ni hilo ila nahisi nimegeuza maneno)

mkuu mimi huwa sipo vizuri kwenye kuandika,pia majina ya movies nasahau sana,wheels on meals nimeiona ngoja niangalie hiyo millionaires express usiku huu


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom