Lol....... Umri mdogo lakini ana manguvu ya kunyonga umri mkubwa...Sijui jamaa alikuwa hana pesa ya kumlipa?
Au jamaa alilazimisha tiGo? dah
Alafu jamaa umri dogo kuliko demu
R.I.P Levina Kiwili
Hahaha! Kweli asee!Atakuwa kijeba bila shaka
Hata hizi style nyingine inabidi watu kuwa makini nazo, unaweza kukuta mtu amepindwa mpaka unashangaa!
Hata hizi style nyingine inabidi watu kuwa makini nazo, unaweza kukuta mtu amepindwa mpaka unashangaa!
Lol...so mshikaji yaezekana alikuwa katika kutafuta utamu ulikojificha akajikuta ameua au?Labda utamu wa wengine umejificha sana shurti uutafute kwa kupindwapindwa
Lol...so mshikaji yaezekana alikuwa katika kutafuta utamu ulikojificha akajikuta ameua au?
Hahahaha! Fidel utanilipa hizi mbavu zangu zilizoteguka?...lolJamaa alikunja kama nyani akasahau kuwa dada analia maumivu ya shingo imenasa kwenye chaga yeye akajua analia kwa ajili ya utamu akaongeza speed
Hahahaha! Fidel utanilipa hizi mbavu zangu zilizoteguka?...lol
Hahahahaha! Nna hakika bro nae kidogo azimie baada ya kukutana na marehemu anadunda lol...kumbe wakati mwingine watu wanaua bila kukusudia eeh? Nimecheka sana!... Sasa ya bro iliishia wapi?Cheka nusu
Hapo jamaa kuja kushtuka mtu kasizi kasikilizia kama nusu saa haamki lol akaamua kukusanya nyaraka muhimu za dada na kuchapa mwendo. Hii ilimtokea hata bro. yeye bahati nzuri yule binti alikuwa anazimia tu alicho haribu alizimia kwenye geto la bro akaamua kumbeba usiku kwa usiku na kwenda kumuegesha karibu na kwao yeye bro alijua nae kaua lol mchana anamkuta anadunda mtaani.