Mwanaume ambaye hajanioa anataka nimfulie nguo

Mwanaume ambaye hajanioa anataka nimfulie nguo

Narudia tena usimfulie hadi awe mumeo,kwa sasa kila mtu abebe mzigo wake.Na ukicheza atakufuja mpaka uombe poo[emoji16]
 
Kwani yeye Ana offer Nini kwangu...maana mtu anademand umfulie umafanyie usafi ..yeye anakupa nini labda.

Kuna wanaume akikwambia umfulie yaani hata ubishi... Sasa huyu nae kajamba Nani
Anataka special treatment.. what does he have to offer?
kama hana hela mpige chini achana nae
 
Kwani yeye Ana offer Nini kwangu...maana mtu anademand umfulie umafanyie usafi ..yeye anakupa nini labda.

Kuna wanaume akikwambia umfulie yaani hata ubishi... Sasa huyu nae kajamba Nani
Anataka special treatment.. what does he have to offer?
Aisee unadharau!!, kisa hakupi hela na matunzo unayotaka? Ni kwamba huna upendo kwake na unatuenjoy tu kuomba ushauri hapa coz majibu tayari unayo!
Halafu umenikera...
 
Kwani yeye Ana offer Nini kwangu...maana mtu anademand umfulie umafanyie usafi ..yeye anakupa nini labda.

Kuna wanaume akikwambia umfulie yaani hata ubishi... Sasa huyu nae kajamba Nani
Anataka special treatment.. what does he have to offer?

Mmekutana pipa na mfuniko
 
Habari,

Kwasasa nipo single (Mtasema tangazo, whatever)

Ila Kuna mtu anataka tuwe na mahusiano. Ila huyu mtu anasema yeye lengo moja wapo lakuwa kwenye mahusiano ni Kwamba lazima umfulie nguo na kumfanyia usafi kila week.

Mimi naona Haya majukumu nayabeba Kama Nani?

Je, ni sahihi kumfulia nguo mtu ambae hujui hata future yenu huko mbele ikoje?

Nawasilisha.
Tuanzie kwenye kupika na kupakua, unanifanya hivyo?
 
Acha kama ana nia si aoe then ainjoi maisha ya wife.no matter anakupa hela kama girlfriend.majukumu hayo ni zaidi ya hivyo.kwani akikupa hela huwa hatombi?
 
Hapaaaa napooo unatakaaa ushauriii[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
hapa anataka muone tangazo, wala hana haja na huo ushauri
 
Back
Top Bottom