Mwanaume aliyeoa ni rahisi sana kupata mchepuko kuliko asiye na mke

Wewe ndio malaya sasa,.kama unampenda mkeo kweli na yuko timilifu kwa miaka 10 unachepuka ili ugundue nini??kipi kipya unachokitafuta chini ya jua hili usichokijua mzee kama wewe wa mwaka 54???chaaa!!!
Hakuna mwanaume Malaya Duniani.... Mwanaume kazi Yake ni Kupiga Pumbu.... Ila wanawake wako Malaya Kibao...... VIP mbona Povu Sana... Au kuna mwanandoa Anapiga kibingwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio povu, wewe mtu mzima ulitakiwa kuwa mfano kwa chipukizi wa ndoa, watu mnalalama ndoa za siku hizi sijui zina nini kumbe kuna watu kama nyie mnajisifia ujinga, ndoa iheshimiwe na watu wote mzee...
 
Back
Top Bottom