Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,589
- 3,639
Kama uko makini weka picha yako.....!! Wadau waweze kufanya tathmini...
ha haKasema wa kuishi naye mkuu yani nimeipenda hii nshawahi pm maana bahati kama hizi haziji mara mbili.
Akina amina wao wanataka wa kuwaoa.
....ehh?
Bila picha hata unafikiri inanoga mkuuMimi ni mwanamke mwenye miaka 27 nahitaji mwanaume wa kuishi nae mimi, nipo serious, maelezo zaidi ni pm tuzungumze kuhusu dini, na kazi na ninapoishi, kejeli pembeni.
Hahaaa mkuu kumbe nilikuwa nakukimbizia ndege wako, nisamehe mkuu🙁🙁Kasema wa kuishi naye mkuu yani nimeipenda hii nshawahi pm maana bahati kama hizi haziji mara mbili.
Akina amina wao wanataka wa kuwaoa.
PM maana yake ni Pwani na Morogoro yani anamaanisha huyu mtu anapatikana mkoa wa Pwani au Morogoro kwa hiyo umfuate huko huko mkaongee vizuri zaidi.Pm ndo wapi mkuu?