Weka picha mkuuAwe na mwili umejengeka kiasi, awe na kakitambi kidogo. Asiwe amekonda kwa kweli mimi wanaume vimbaumbau wakae mbali kabisa nami.
Mwanaume awe anajiamini. Mpole lakini pia mkorofi akichokozwa na awe anajiamini. Napenda mwanaume ambaye wangu. Umbo lake naye ni namba 8 ya ukweli si ya michongo. Graduate anafanya biashara ana duka la nguo na viatu.
naona unamapaja yaliyo wamba vyema, hongeraAkuuuuuh.... Labda liwe jipya.
Iwe
Matokeo ya sensa unayo?Awe na mwili umejengeka kiasi, awe na kakitambi kidogo. Asiwe amekonda kwa kweli mimi wanaume vimbaumbau wakae mbali kabisa nami.
Mwanaume awe anajiamini. Mpole lakini pia mkorofi akichokozwa na awe anajiamini. Napenda mwanaume ambaye ta wangu. Umbo lake naye ni namba 8 ya ukweli si ya michongo. Graduate anafanya biashara ana duka la nguo na viatu.
Watu wakufanya lamination wakwapi? niwape tenda hapa kwa hii commentWakati huo mwanaume anakuja na mazaga zaga yote hayo uliyotaja
Wewe una nini na nini cha ku-offer?
Yupo tu na gagulo lakeWakati huo mwanaume anakuja na mazaga zaga yote hayo uliyotaja
Wewe una nini na nini cha ku-offer?