kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,389
- 4,935
Ushauri ambao hatoujutia , kama unaweza mfadhili atoke daar aende wilaya zisizochangamka ambako wanasheria ni wachache afungue ofisi yake ,chumba kimoja tu hakizidi50k , kiti na meza , akubali jitesa baada ya hapo atateseka mwezi tu ila ataanza pata kazi nyingi sana kwa malipo mazuri na kuajiriwa ataona uchuro tuNina mdogo wangu binti, miaka 28 akiwa na uzoefu wa miaka 2 ya kazi. Kwa sasa yupo Dar es salaam anahitaji kazi aidha ya kuajiriwa au mshauri binafsi wa masuala ya kisheria kwenye taasisi yoyote. Kwa yoyote aliye serious plz inbox kwa mawasiliano zaidi.
Ushauri mzuri sana.Ushauri ambao hatoujutia , kama unaweza mfadhili atoke daar aende wilaya zisizochangamka ambako wanasheria ni wachache afungue ofisi yake ,chumba kimoja tu hakizidi50k , kiti na meza , akubali jitesa baada ya hapo atateseka mwezi tu ila ataanza pata kazi nyingi sana kwa malipo mazuri na kuajiriwa ataona uchuro tu
NiwakiliNina mdogo wangu binti, miaka 28 akiwa na uzoefu wa miaka 2 ya kazi.
Kwa sasa yupo Dar es salaam anahitaji kazi aidha ya kuajiriwa au mshauri binafsi wa masuala ya kisheria kwenye taasisi yoyote. Kwa yoyote aliye serious plz inbox kwa mawasiliano zaidi.
Naomba official name yake anayitumia kwenye roll of advocates (TAMS)Nina mdogo wangu binti, miaka 28 akiwa na uzoefu wa miaka 2 ya kazi.
Kwa sasa yupo Dar es salaam anahitaji kazi aidha ya kuajiriwa au mshauri binafsi wa masuala ya kisheria kwenye taasisi yoyote. Kwa yoyote aliye serious plz inbox kwa mawasiliano zaidi.
8366 B ClaudNaomba official name yake anayitumia kwenye roll of advocates (TAMS)
Ndio mkuuNiwakili
Kuna demu wangu nilimfadhili kufungua ofisi ya uwakili Dodoma,aliishia kupata mteja mmoja tu wa kupiga mhuri.ikabidi aifunge,saiv ni mwajiriwa wa serikali huko ofisi ya DPP.wagogo wabahili hatariAje Dodoma afungue Ofisi yake,nitamfadhili malazi bure kwa miezi sita,wewe Kaka mtu mpe Mtaji tu(Kodi ya Ofisi,Fenicha nk)
Ushapewa,mpe kazi sasa mkuuNaomba official name yake anayitumia kwenye roll of advocates (TAMS)
Dodoma ni kama nyumbani, hatuna shida na makazi au malazi, ahsante.Kuna demu wangu nilimfadhili kufungua ofisi ya uwakili Dodoma,aliishia kupata mteja mmoja tu wa kupiga mhuri.ikabidi aifunge,saiv ni mwajiriwa wa serikali huko ofisi ya DPP.wagogo wabahili hatari
Noted8366 B Claud
Basi tatizo limeisha mfungulie ofisiDodoma ni kama nyumbani, hatuna shida na makazi au malazi, ahsante.
hello, habari... mdogo wako ameshapata kazi?Nina mdogo wangu binti, miaka 28 akiwa na uzoefu wa miaka 2 ya kazi.
Kwa sasa yupo Dar es salaam anahitaji kazi aidha ya kuajiriwa au mshauri binafsi wa masuala ya kisheria kwenye taasisi yoyote. Kwa yoyote aliye serious plz inbox kwa mawasiliano zaidi.
Bado mkuu, karibu.hello, habari... mdogo wako ameshapata kazi?