"Nimeamua kwa moyo Mmoja kujivua UANACHAMA wa CHADEMA na kujiunga na CHAMA CHA MAPINDUZI. Sababu zangu ni za msingi hivo niwatake Ndugu jamaa na marafiki kulipokea hilo na sio kwa kushawishia na Mtu, bali maamuzi binafsi.
Ninategemea kukitumikia chama changu kipya kwa Uaminifu kufikia malengo yaliokusudiwa.
Nategemea sana watu wasio na wema na shukrani kuibua maneno na ya ajabu na kuzusha sababu ambazo sijaziandika katika barua hio.
Natambua haki yangu ya kuwa muumini na mshabiki wa chama chochote pasipo kulazimishwa na mtu.. Hivo kuhamia na kuwa mwanachama wa CCM ni moja ya haki yangu ya msingi kwa kuunga mkono Jitiada za Serikali ya awamu ya 5, ya Dr John P. Magufuli..
By
John L. Mahimbo
(Niliekuwa Mjumbe wa Kamati tendaji ya wilaya Rungwe na Mshauri wa maswala ya Sheria Wilaya ya rungwe CHADEMA)
[HASHTAG]#TUKUTANE[/HASHTAG] [HASHTAG]#KAZINI[/HASHTAG]"