Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,201
- 2,587
Heshima kwako Mwalimu wangu wa Logic and reasoning(AG, DR. KILANGI).
Ninajua una majukumu mengi lakini usisite kutolea ufafanuzi suala hili la jinsi ya kumaliza mgogoro wa umiliki wa Ziwa Nyasa.
Tumesikia mengi sana kuhusu mgogoro wa umiliki wa ziwa Nyasa kati ya Tz na Malawi.
Hata hivyo kwa bahati mbaya hakuna machapisho ya kutosha hapa nchini yanayohusu ukweli wa nani mmiliki halali wa Ziwa Nyasa(hatakama yapo basi yanapatikana kwa uchache).
Malawi wanaendelea kushika msimamo wao kuwa ziwa Nyasa ni mali yao kwa kutumia sheria ya Heligoland Treaty iliyosainiwa 1 July, 1890 na mataifa ya Uingereza na Jermani wakati huo wakitawala Malawi na Tz kama makoloni yao.
Hatahivyo tangu mwaka 1960 kabla ya uhuru Tanganyika haikuwahi kukataa kuwa ziwa Nyasa ni mali ya Malawi, ushahidi kuhusu hili ni pale Mwalimu Julius K. Nyerere aliposema maneno yafuatayo kwenye kikao cha Tanganyika legislative Council,
"'we know that not a drop of water of the water of Lake Nyasa belongs to Tanganyika under the terms of agreement so that in actual fact, we would be asking a neighbouring government . . . . To change the boundary in favour of Tanganyika"
Sambamba na hilo kuna ramani mpya inayotumiwa na Tanzania kuonyesha kuwa kuna mpaka katikati ya ziwa Nyasa unaotenganisha miliki yetu Tanzania na ile ya Malawi, ramani hii inakataliwa vikali na Malawi.
Je Tanzania tumepata ramani hiyo kwa mujibu wa sheria/makubaliano yapi ya kimataifa?
Je unasemeaje kuhusu African Union border Programme ya 2007 kuhusu uwezekano wake wa kusaidia kutatua mgogoro huu wa Je unasemeaje kuhusu African Union border Programme ya 2007 kuhusu uwezekano wake wa kusaidia kutatua mgogoro huu wa mpaka?
Je Heligoland treaty haina kipengele kinachoruhusu makubaliano mapya au marejeo?
Je ile kampuni ya Hamra Oil ya United Arab Emirates iliyopewa leseni na Malawi kutafiti na kuchimba Mafuta ziwa Nyasa inachukuliwaje na Tz?
Je ule usemi wa Mwalimu Nyerere hapo juu unausemeaje kuhusu mchango wake ktk mgogoro huu?
Ipi sera ya Tanzania ya kutatua mgogorIpi sera ya Tanzania ya kutatua mgogoro huu?
Je heligoland treaty inabind vipi Tanzania wakati Tanganyika ndiye alikuwa nchi husika?
Kwa kuwa wewe ni mtaalamu wa Sheria za kimataifa basi tupatie international principles zitakazoweza tumika kutatua mgogorKwa kuwa wewe ni mtaalamu wa Sheria za kimataifa basi tupatie international principles zitakazoweza tumika kutatua mgogoro huu?
Karibuni na wajuzi wengine.