Mwanasheria anahitajika kumsaidia kijana huyu

Street Hustler

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
2,276
Reaction score
4,513
Habarini wakuu,

Kuna kisa kimoja nimekutana nacho hivyo naomba nikiweke hapa.

Nlikuwa central police arusha nlikuwa rumande baada ya Askari kunilazimisha kuwa nilipita kwenye taa nyekundu wakati sio ndipo nlipokataa mpaka tutafikishana kuweka a rumande kwa zaidi ya saa 48 japo ilkua n weekend lakin baadae nlijua alikuwa amenikosea ila sifikirii kumshtaki lakini Kuna visa vingi nimekutana navyo humo Kuna jamaa anashikiliwa humo kwa kosa la mauaji ya watu watatu lakini bado ajafikishwa mahakani ila yupo tangu mwez July 2018, kwa mujibu wa maelezo yake anasema anebambikiwa hyo kesi na anaemshtaki ni msthakiwa wake(hyu jamaa aliepo selo) Kwan hyu jamaa aliepo selo Ana kesi yake ya msingi ya kuchomewa nyumba na mmoja Kati ya washtakiwa watano kwenye hyo kesi ya nyumba mmoja wapo ndo kapeleka kesi ya mauji na kumtuhumu huyu bwana kuwa ndo muuaji.

HISTORIA FUPI TA HUYU BWANA
👉Jamaa ni mtu wa mererani kuishi na kufanya kazi umri wake n Kama 30hv alifungua kesi ya kuchomewa nyumba kwenye mahakani iliyopo jiji la Arusha wakati kesi inaendelea jamaa akafunguliwa hyo kesi ya mauaji na kadri anavyosema hayo mauji location zinabadilika kila anapohojiwa.
Huyu jamaa n kijana wa kawaida tuu Hana uelewa kuhusu wajibu wa KISHERIA hata taaluma yake n ndogo mno kiuchumi n mtu wa kawaida Kama asilimia 70 ya watanzania tulivyo ni ya kawaida sio tajiri Wala maskini n ile kula ili uishi

Hvyo Kama Kuna mwanasheria anaweza jitolea kutoa msaada wa KISHERIA basi anaombwa awasaidia Hawa vijana ili wapate haki Yao Kama kuwa huru au kuwa kizuizini pia ni wito wangu kwa wanasheria kujitolea na kupita mahabusu ili mtoe msaada wa KISHERIA kwa watanzania wenzenu.

Karibuni kwa msaada, maoni na ushauri
 
Ngoja wanasheria wasomi watakuja, ila kwa kuwa grisi ya hii awamu, mwanasheria achome mafuta aende kumsaidia mtu asiye mjua, ningumu kidogo. Pale ungemsaidia kwa kufuatilia ndugu zao / zake ili waanzie hapo.

Kusema kweli kuacha shuguli zako nakwenda kusaidia mtu usiyemjua from A to Z ni ngumu kidogo.
 
Habarini wakuu,

Kuna kisa kimoja nimekutana nacho hivyo naomba nikiweke hapa.

Nlikuwa central police arusha nlikuwa rumande baada ya Askari kunilazimisha kuwa nilipita kwenye taa nyekundu wakati sio ndipo nlipokataa mpaka tutafikishana kuweka a rumande kwa zaidi ya saa 48 japo ilkua n weekend lakin baadae nlijua alikuwa amenikosea ila sifikirii kumshtaki lakini Kuna visa vingi nimekutana navyo humo Kuna jamaa anashikiliwa humo kwa kosa la mauaji ya watu watatu lakini bado ajafikishwa mahakani ila yupo tangu mwez July 2018, kwa mujibu wa maelezo yake anasema anebambikiwa hyo kesi na anaemshtaki ni msthakiwa wake(hyu jamaa aliepo selo) Kwan hyu jamaa aliepo selo Ana kesi yake ya msingi ya kuchomewa nyumba na mmoja Kati ya washtakiwa watano kwenye hyo kesi ya nyumba mmoja wapo ndo kapeleka kesi ya mauji na kumtuhumu huyu bwana kuwa ndo muuaji.

HISTORIA FUPI TA HUYU BWANA
[emoji117]Jamaa ni mtu wa mererani kuishi na kufanya kazi umri wake n Kama 30hv alifungua kesi ya kuchomewa nyumba kwenye mahakani iliyopo jiji la Arusha wakati kesi inaendelea jamaa akafunguliwa hyo kesi ya mauaji na kadri anavyosema hayo mauji location zinabadilika kila anapohojiwa.

Nenda ofisi za Legal and Human Rights Centre(LHRC) utapata msaada mkuu tena bure kabisa.
 
Ngoja wanasheria wasomi watakuja, ila kwa kuwa grisi ya hii awamu, mwanasheria achome mafuta aende kumsaidia mtu asiye mjua, ningumu kidogo. Pale ungemsaidia kwa kufuatilia ndugu zao / zake ili waanzie hapo.

Kusema kweli kuacha shuguli zako nakwenda kusaidia mtu usiyemjua from A to Z ni ngumu kidogo.
Katika watu wanaotanguliza Hela nihao jamaa
 
Habarini wakuu,

Kuna kisa kimoja nimekutana nacho hivyo naomba nikiweke hapa.

Nlikuwa central police arusha nlikuwa rumande baada ya Askari kunilazimisha kuwa nilipita kwenye taa nyekundu wakati sio ndipo nlipokataa mpaka tutafikishana kuweka a rumande kwa zaidi ya saa 48 japo ilkua n weekend lakin baadae nlijua alikuwa amenikosea ila sifikirii kumshtaki lakini Kuna visa vingi nimekutana navyo humo Kuna jamaa anashikiliwa humo kwa kosa la mauaji ya watu watatu lakini bado ajafikishwa mahakani ila yupo tangu mwez July 2018, kwa mujibu wa maelezo yake anasema anebambikiwa hyo kesi na anaemshtaki ni msthakiwa wake(hyu jamaa aliepo selo) Kwan hyu jamaa aliepo selo Ana kesi yake ya msingi ya kuchomewa nyumba na mmoja Kati ya washtakiwa watano kwenye hyo kesi ya nyumba mmoja wapo ndo kapeleka kesi ya mauji na kumtuhumu huyu bwana kuwa ndo muuaji.

HISTORIA FUPI TA HUYU BWANA
[emoji117]Jamaa ni mtu wa mererani kuishi na kufanya kazi umri wake n Kama 30hv alifungua kesi ya kuchomewa nyumba kwenye mahakani iliyopo jiji la Arusha wakati kesi inaendelea jamaa akafunguliwa hyo kesi ya mauaji na kadri anavyosema hayo mauji location zinabadilika kila anapohojiwa.
Huyu jamaa n kijana wa kawaida tuu Hana uelewa kuhusu wajibu wa KISHERIA hata taaluma yake n ndogo mno kiuchumi n mtu wa kawaida Kama asilimia 70 ya watanzania tulivyo ni ya kawaida sio tajiri Wala maskini n ile kula ili uishi

Hvyo Kama Kuna mwanasheria anaweza jitolea kutoa msaada wa KISHERIA basi anaombwa awasaidia Hawa vijana ili wapate haki Yao Kama kuwa huru au kuwa kizuizini pia ni wito wangu kwa wanasheria kujitolea na kupita mahabusu ili mtoe msaada wa KISHERIA kwa watanzania wenzenu.

Karibuni kwa msaada, maoni na ushauri
Mmmmhhh,,,Weka majina yake na siku alioingia .
 
Tundu lisu tu ndie wakili anaeongoza dunia nzima Kwa record ya kuwapa watu Msaada wa kisheria bure, huku wakitumia muda wao, nauli na maradhi Kwa pesa yake.
 
Mkuu,,kwa hil nahc au nadhani hamna haja ya wakil kuna mapungufu kidogo
 
POA jamaa ngoja tuwatafute tuone wanaweza kumsaidia vip
Alikuambia hataki uweke details zake hapa? Kama hapana kizuizi ungeandika jina la lake kamili, lokapu aliyofungwa na jina la huyo anayedai amemsingizia. Hili hata waandishi wa habari nao wanaweza kuliandika kwa kirefu na likaifikia serikali.
 
Alikuambia hataki uweke details zake hapa? Hapa hapana kizuizi ungeandika jina la lake kamili, lokapu aliyofungwa na jina la huyo anayedai amemsingizia. Hili hata waandishi wa habari nao wanaweza kuliandika kwa kirefu na likaifikia serikali.
Fact,,
 
Ungeweka details zakueleweka kidogo ili hata kama nikutoa msaada mtu awe angalau ana ABCs ajue ataanzia wapi.
 
Hajazuia chochote kiongozi sema jina limenitoka kidogo ila yupo pale central Arusha n maarufu Kama balozi Mana yeye ndo mkongwe kwenye hyo selo na ndo kiongozi kwa watu waliopo selo

Back
Top Bottom