James Thobias
Member
- Nov 3, 2016
- 10
- 3
Uende wapi ww
Hata wangesema miaka 100 ijayo hautakuwepo probably........... Kukata tamaa wkt ukweli unauonaUna uhakika gani mkuu?acha kujikatia tamaa
I appreciate for what you have done to accomplish this weird thread.2 hours ago
Dunia tunayoishi haitokuwa kama ilivyo sasa baada ya miaka 1,000.
Mwanasayansi nguli Stephen Hawking, amesema binadamu hawatoweza tena kuishi katika ardhi ya dunia kwa miaka 1,000 nyingine, na chanzo kitakuwa yale yale, mabadiliko ya tabia nchi, mabomu na roboti.
Stephen hawking
Akiongea kwenye chuo kikuu cha Oxford wiki kadhaa zilizopita, Hawking alisema njia pekee itakayotupa maisha zaidi, ni kuhama kwenye dunia hii na kwenda kutengeneza makoloni kwenye sayari zingine.
“Although the chance of a disaster to planet Earth in a given year may be quite low, it adds up over time, and becomes a near certainty in the next 1,000 or 10,000 years,” alisema.
“By that time we should have spread out into space, and to other stars, so a disaster on Earth would not mean the end of the human race.”
Pamoja na hivyo, Hawking alikuwa na maneno ya faraja: Remember to look up at the stars and not down at your feet. Try to make sense of what you see, wonder about what makes the universe exist,” he said. “Be curious. However difficult life may seem, there is always something you can do and succeed at. It matters that you don’t just give up
Walioandika hizo theories za mungu ndio haohao kina babu zake na Stephen hawking.Ungejua MUNGU alivyo na mipango na planet earth.....
Ungejua namna atakavyoisafisha kwa moto na kuwa Dunia mpya ya watakatifu kuishi.
Itakua ile ya kipindi kile yaani ita chukua utukufu mpya.(Paradisical Glory).
Kifupi ,Dunia ni kiumbe hai,
Dunia ilishabatizwa kwa maji mengi (Noah's flood)
Dunia pia itabatizwa kwa moto .(ubatizo wa Roho mtakatifu).
Then itakua sanctified kwa wale waliofuzu kuishi.
kipindi hicho tutakua mafuvu ya watu wa kalenapenda kuja kuona binadamu tukianzisha makazi sayari nyengine!
tatizo lipo kwenye ku-change
mazingira ya hizo sayari doh!! More thinking and effort need there
HUYO SHETANI ndio maana alipigwa ugonjwa akawa anaongelea mashine, lilikuwa pepo kama mapepo mengine tu. ni shetani alikuwa anaoperate ndani yake.2 hours ago
Dunia tunayoishi haitokuwa kama ilivyo sasa baada ya miaka 1,000.
Mwanasayansi nguli Stephen Hawking, amesema binadamu hawatoweza tena kuishi katika ardhi ya dunia kwa miaka 1,000 nyingine, na chanzo kitakuwa yale yale, mabadiliko ya tabia nchi, mabomu na roboti.
Stephen hawking
Akiongea kwenye chuo kikuu cha Oxford wiki kadhaa zilizopita, Hawking alisema njia pekee itakayotupa maisha zaidi, ni kuhama kwenye dunia hii na kwenda kutengeneza makoloni kwenye sayari zingine.
“Although the chance of a disaster to planet Earth in a given year may be quite low, it adds up over time, and becomes a near certainty in the next 1,000 or 10,000 years,” alisema.
“By that time we should have spread out into space, and to other stars, so a disaster on Earth would not mean the end of the human race.”
Pamoja na hivyo, Hawking alikuwa na maneno ya faraja: Remember to look up at the stars and not down at your feet. Try to make sense of what you see, wonder about what makes the universe exist,” he said. “Be curious. However difficult life may seem, there is always something you can do and succeed at. It matters that you don’t just give up.”
Lakwako litakuwa mafuta usiniulize mafuta yapi jiangalie tabia zako tu utajua!.. binafsi nitakuwa mafuta ya kupanda Bei..😂kipindi hicho tutakua mafuvu ya watu wa kale
Waafrika bhana..!HUYO SHETANI ndio maana alipigwa ugonjwa akawa anaongelea mashine, lilikuwa pepo kama mapepo mengine tu. ni shetani alikuwa anaoperate ndani yake.
kwa nini umuite shetani huku ukisema shetani alikua akioperate ndani yake?HUYO SHETANI ndio maana alipigwa ugonjwa akawa anaongelea mashine, lilikuwa pepo kama mapepo mengine tu. ni shetani alikuwa anaoperate ndani yake.
Tulia tukupashe ,hujui chochote.Walioandika hizo theories za mungu ndio haohao kina babu zake na Stephen hawking.