The Stress Challengerr
JF-Expert Member
- Jan 18, 2020
- 2,478
- 6,764
Sasa yeye si ndio alikuwa boss bado pia yeye jasusi.Ww jamaa acha kuchanganya madesa,
Caleb na Joshua hawakuwa kwenye timu ya kijasusi ya kuipeleleza Jericho
Joshua ndie aliyewatuma vijana wake huko na wakapenya katikati ya ngome nzito za huu mji na kurudi salama wakiwa na nyaraka nzito za kiintelijesia
Tafsiri ya nyaraka ikaonesha kwamba kwamba kwa nguvu zao za kijeshi pekee, hawawez kupigana against waYeriko, hasa sbb ya zile kuta nzito
Wakamuendea Mungu kuomba msaada, kilichofanyika ni zile kuta kuanguka na Israel kushinda kirahisi sana
God bless and protect Israel