Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 431
- 433
Hawakushiriki, alishiriki yeye peke yake na ameshiriki mbio hizo mara nyingi…Hongera Sana kwake nafarijika Sana napooona kumbe kuna watanzania wanapenda riadha
Usiache kuleta habari za riadha tupo tunaokufuatilia mkuu
Swali; watanzania wengine walioshiriki mbio hizo majina yao tunaomba
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzani bado tunajikongoja kwenye maandalizi,Hongera zake sana.
Inaonekana wakenya kwa kukimbia wameshashindikana. Yaani Kenya ndiyo ilikuwa na wakimbiaji wengi kuliko nchi zote zilizoshiriki. Kwa nini wasiwe wanawachujana nyumbani na kubakisha watatu tu kuliko kupeleka wote hao ilihali inajulikana washindi ni watatu tu?
Kenya= 6
USA (wenyeji) =5
Germany =2
Brazil=1
Morocco 1
Ethiopia =1
Mexico=1
Tanzania=1
Sijui kama ni kweli, ila nimesoma mahali kuwa Gabriel anaishi Tampa, Florida. Kwa hiyo hakushiriki mashindano hayo akitokea Tanzania moja kwa moja; yaani Tanzania haikutuma mtu kwenye mashindano hayo.Tanzani bado tunajikongoja kwenye maandalizi,
HAPANA; amesafiri wiki iliyopita, ila ataendelea kusubiri mashindano mengine ya Tarehe 4 Julai 2023…huko huko marekani.Sijui kama ni kweli, ila nimesoma mahali kuwa Gabriel anaishi Tampa, Florida. Kwa hiyo hakushiriki mashindano hayo akitokea Tanzania moja kwa moja; yaani Tanzania haikutuma mtu kwenye mashindano hayo.
Ameondoka wiki iliyopita, atakuwa na Mbio zingine zitakazofanyika, Atlanta , PeachTree Road Race, AJC , 10KSijui kama ni kweli, ila nimesoma mahali kuwa Gabriel anaishi Tampa, Florida. Kwa hiyo hakushiriki mashindano hayo akitokea Tanzania moja kwa moja; yaani Tanzania haikutuma mtu kwenye mashindano hayo.
Record za waandaaji wa mashindano hayo wameandika kuwa anatoka Tampa !!HAPANA; amesafiri wiki iliyopita, ila ataendelea kusubiri mashindano mengine ya Tarehe 4 Julai 2023…huko huko marekani.
Amekimbia metre ngap kwa huu muda
mita elfu 10 au Kilomita 10Amekimbia metre ngap kwa huu muda?
Riadha pia ina mameneja, sio nchi imempeleka Geay, ni Mashindano binafsi.
Ahsante sana Mkuu Peramiho yetuHongera Sana kwake nafarijika Sana napooona kumbe kuna watanzania wanapenda riadha
Usiache kuleta habari za riadha tupo tunaokufuatilia mkuu
Swali; watanzania wengine walioshiriki mbio hizo majina yao tunaomba
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaendelea kuhimiza kupitia mitandao mbalimbaliSafi sana, hongera kwake kijana wetu, analeta heshima na motisha kwa wengine.
Nafikiri uwekezaji kwenye riadha hasa kwa maeneo yenye uhitaji sana unapaswa kupewa kipaumbele na serikali/wadau.