AsanteKama wa kike je? Vip? Akuletee single faza
Pole sana kwa kisa chako mzee, uzuri wa kuoa single maza na wewe uwe single faza
Kwani hiyo mada ya yeye kutaka niwe na uzao wakwanza kwa mwanamke anamaanisha Nini au kunamazara Gani uzao wakwanza kutoka kwa mtuu mwingine?Yupo sahihi 100%
Apo issue iko ivi kaka mwanamke yoyote hawezi kuzaa na mwanaume asiyempenda ivo mpaka umeona amezaa na mwanaume uyo ujue amempenda ipo siku watatafutana tu kupitia malezi ya mtoto na wewe ukiwa naye katika ndoa sio kwamba mtaishi muda wote na furaha na amani kuna mapito pia apo ndo utamjua vizuri uyo single maza na mfano mwingine mdogo nakupa kwa wanyama ushawai tazama kipindi cha wanyama ukaona simba anaua watoto sasa wale sio watoto wake ni watoto wa dume aliloshinda nguvu eiza kamuua au kamkimbiza baada ya mapigano,Simbq kafanya vile ili aanzishe uzao wakeKwani hiyo mada ya yeye kutaka niwe na uzao wakwanza kwa mwanamke anamaanisha Nini au kunamazara Gani uzao wakwanza kutoka kwa mtuu mwingine?
Mtoto wa kwanza ndie msimamizi wa mirathi na mwangalizi wa familia wewe utakapokufa au utakapozeeka. Kitendo cha mwanamke kuja kwenye mji wako na mtoto ambae ashazaa na mwanaume mwingine italeta mgongano wa kimasilahi wa nani anaestahili haki ya mzaliwa wa kwanza ndani ya nyumba yako.Kwani hiyo mada ya yeye kutaka niwe na uzao wakwanza kwa mwanamke anamaanisha Nini au kunamazara Gani uzao wakwanza kutoka kwa mtuu mwingine?
Pumbu ww😏Wazazi wapo sahihi.
Single mothers Sio wabaya ila kwa kijana unayejitafuta, jiepushe na single mothers
Hakupenda???, kwani siku hiyo mimba inaingia ulishiriki kushika paja?Kwaheri ila muoe huyo dada hakupenda kuwa single ni hatma za kidunia 😪😪
Mkuu wangu Mnyenz na leo unataka tugombane tena ?Hakupenda???, kwani siku hiyo mimba inaingia ulishiriki kushika paja?
Washkaji ndo wamekuja kukutembelea, unaanza utambulisho sasa.Kwani hiyo mada ya yeye kutaka niwe na uzao wakwanza kwa mwanamke anamaanisha Nini au kunamazara Gani uzao wakwanza kutoka kwa mtuu mwingine?