Jamani wapenzi wa chit chat leo sina raha kabisa.
Naiona kama week end hii ni mbaya kwangu kwa kumkosa mwanangu
ronn .Wajomba zake wote
Eiyer,
platozoom,
Excellent,
Mbimbinho, na aunt yake
Smile. mtafuteni jamani.
baba mtoto
Kaizer mshtue hommie wako
Asprin na wakeze wote
cacico,
BADILI TABIA, na
Yummy waje wanitafutie. marafiki zangu zote akina
Kaunga,
Preta,
sweetlady ,
Kongosho,
kingasti, na makaka wote wa ukweli
erick52,
cartura,
SnowBall,
Billie na
Mr Rocky mtafuteni mwanangu jamani tumbo la udele linauma sana.
wazee wenzangu
Mtambuzi,
Remmy na mama yangu
Mamndenyi mtafuteni jamani.
mwambieni hivi momy loves him come home this week end please.
Erotica usikose kwenda kumtafuta.