kumbe mko wengi okTumekusikia. Asante na ubarikiwe sana.
Mwanao ana umri gani hivi?
Nenda pale Lumumba mwone Makamba ata organize tu na unaweza pewa t-shirt, khanga na kofia juu kisha unasafirishwa na mwanao kwenye kampeni kama ni Pemba au Unguja utakula shavu tu.
Ushauri wangu: Mkifanikiwa kupata ruhusa ya mwanao kumuona kikwete, fanya juu chini amuone kwa mbali la sivo mwanao anaweza kupata ugonjwa wa kuanguka anguka, na ukimuanza katika umri mdogo hivo ni hatari sana!
Majuma matatu kutoka sasa mtoto wangu anayesoma elimu ya chechechea ataadhimisha siku ya kuzaliwa kwake. Kasema mwaka huu hataki zawadi wala keki, anataka aende kumtembelea Raith Kikwete.
Naombeni ushauri wa jinsi ya kumkutanisha mwanangu huyu na Mheshimiwa Kikwete.
Natanguliza shukrani kwa yeyote aliye tayari kunisaidia.
VALUER, SAFARI, KONYAGI FOR YOU ON THE HOUSE UTACHAGUA KATI YA HIZO
The Following User Says Thank You to Acid For This Useful Post:
The Finest (Today)
properHizi nazo ni akili mbovu.
kwa sasa Mheshimiwa yuko kwenye ratiba kali sana ya kampeni kwa hiyo hata ukienda kumuona watakupangia tarehe za mbele sana labda baada ya Desemba halafu kama unataka kumwona Rais unatakiwa kujaza fomu na kueleza sababu ya kwenda kumuona sasa sidhani kama hiyo sababu yako ni ya msingi
Ushauri: Najua unampenda sana mwanao ila sio kitu anachosema mtoto wazazi mkitekereze maana mtoto bado akili yake inakuwa hivyo inatakiwa kuelekezwa kinachowezekana na kisichowezekana sidhani kama ni sawa kwa mtoto wenu mdogo kutaka kuonana na Rais siku ya kuzaliwa kwake maana sidhani kama kwa umri wake atakuwa na lolotela kumwambia Rais. Pia ukiwa kama mzazi jaribu kumwongoza mtoto katika misingi ya kumfanyia mambo yanayowezekana na pia jaribu ku-reason kabla hujatenda maana wazazi wasiku hizi tumekuwa kama malimbukeni ktk malezi ya watoto tunawapenda na kuwadekeza kupita kiasi na kupita uwezo wetu ambapo matokeo yake mtoto anaharibika kisaikolojia kwa kujua kila anachotaka wazazi watampa hata kama hawana uwezo
Jaribu kumlea mtoto ktk misingi mizuri na inayowezekana sio kumlea kama maigizo kiasi kwamba anaposema anataka kumwona Rais na wewe unaumia kichwa mwisho wake atakwambia anataka kwenda kumsalimia Obama au kumwamkia Osama sijui hapo utafanyaje. Grow up kuwa kama mzazi ambaye ni mwelekezi kwa mtoto na sio mtoto ndio anaku-drive huo sio ulezi mzuri
Bi Lewinsky muda huu hata ukitaka Kikwete apite barabara ya nyumbani kwako atapita tu. Anataka kura. Jiweke mkao wa kumpigia kura, kofia, tshirt, chupi, suruali, sketi, skafu, picha, bendera za CCM mambo yatakuwa mswano. Ikiwezekana, kubali kuwa bango la biashara ya kura
Ni mtoto wa chekechea. Tungependa aonane nae pasipo gharama za kusafiri kwenda nje ya Dar es Salaam na wala dhumuni sio kutaka kula shavu.
Asante kwa mchango wako.
Lililonileta hapa umeshanisaidia kwenye aya yako ya kwanza.
Asante kwa ushauri wa jinsi ya kulea mtoto. Hata hivyo hilo silo lililonileta hapa. Hauna uhakika kama ni mzazi grown up, kama namdekeza mtoto na ananidrve na simwelekezi. Ningeshukuru kama ungestick kwenye mada husika.
Naona unataka kutubadili akili hapa badala ya kufuatilia mambo ya maana na msingi na kuhakikisha tunapata kiongozi bora wewe unatuvulugia stimu
Majuma matatu kutoka sasa mtoto wangu anayesoma elimu ya chechechea ataadhimisha siku ya kuzaliwa kwake. Kasema mwaka huu hataki zawadi wala keki, anataka aende kumtembelea Raith Kikwete.
Naombeni ushauri wa jinsi ya kumkutanisha mwanangu huyu na Mheshimiwa Kikwete.
Natanguliza shukrani kwa yeyote aliye tayari kunisaidia.
nimejaribu kukuelekeza maana unaelekewa una upeo wa mashaka, mtu aliye na upeo hawezi kumchukulia Rais kama kitu cha mchezo hivyo. Elewa kuwa Rais ana tight schedule na pia ana majukumu mengi ya kitaifa na pia kuna watu wengi sana wanaotaka kumwona kwa matatizo serious na bado wanaikosa hiyo nafasi so kama ungekuwa umefikiria critically nadhani ungekuwa umeshapata jibu na sio kuuliza hapaLililonileta hapa umeshanisaidia kwenye aya yako ya kwanza.
Asante kwa ushauri wa jinsi ya kulea mtoto. Hata hivyo hilo silo lililonileta hapa. Hauna uhakika kama ni mzazi grown up, kama namdekeza mtoto na ananidrve na simwelekezi. Ningeshukuru kama ungestick kwenye mada husika.
Nenda na huyo mwanao ktk mikutano ya kampeni ya JK na ujipange katika mstari wa mbele mahali atakapopita JK, lazima atawapa TANO
Thanks cousin, unajua huwa sielewi role ya mzazi inaanzia wapi na kuishia wapi sometimes... kama kweli una access ya jk unaweza ukapromise mtoto, otherwise ni kuanza kumwambia ukweli kwamba jk ni nani, what it takes to see him and what is their position of the parents na uwezo wao
haya mambo ya ntakununulia roketi na ntakupeleka mbinguni huwa yanaleta taifa la uongo na false expectatiosn from day 1