HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,229
- 103,333
Umekuja kuwashtaki hapa ili?Mwanangu kachaguliwa NIT. DIPLOMA OF ELECTRICAL ENGINEERING WITH RAILWAY ELECTRIFICATION jana kaenda kufuatilia admission kakutana na wanaosoma kozi hiyo wakamtisha hiyo kozi ni ngumu sana.eti wanaanzaga 300 wanafanikiwa kufaulu 50 tu.
Je, kuna ukweli kwenye hili naona ka panic.
Wazoefu mtujuze.usikute ni ile tabia ya watanzania kukwamishana.ndio maana hatuendelei.
Badala ya kutiana moyo na kuhamasishana sisi tunakwazana.
[emoji23][emoji23][emoji23] unakuta tunajitutumua kumjibu mtoto majibu mazito mazito tukifikiri ni baba wa miaka 53Au huyo mwanao ndio wewe!
Hayo waliyomwambia wenzake nayakubali kwa 100%.Mwanangu kachaguliwa NIT. DIPLOMA OF ELECTRICAL ENGINEERING WITH RAILWAY ELECTRIFICATION jana kaenda kufuatilia admission kakutana na wanaosoma kozi hiyo wakamtisha hiyo kozi ni ngumu sana.eti wanaanzaga 300 wanafanikiwa kufaulu 50 tu.
Je, kuna ukweli kwenye hili naona ka panic.
Wazoefu mtujuze.usikute ni ile tabia ya watanzania kukwamishana.ndio maana hatuendelei.
Badala ya kutiana moyo na kuhamasishana sisi tunakwazana.