Wana jf polen kwa majukum
na nashukur kwa ushaur wa bure tunaopeana.
Nina mwanangu wa kike mwenye umri wa miez minana na wiki
mbili...mwanangu hapendi kula chakula chochote hususan uji na kikubwa
anachotegemea ni maziwa ya mamake ambayo nayo hayatoki kwa eingi toka
alipojifungua.
Wakati amezaliwa maziwa ya mamake yalikuw hayatoshi tukawa tunampa na
mwaziwa ya ng'ombe sasa sijui hilo ni chanzo cha tatizo au vipi.
Kuna mtu alinambia may be maziwa alokuw anakunywa yalikuw na fat nyingi
so imejenga coat na kumfanya ajiskie kushiba na kukosa hamu ya kula....
Wana jf naombeni msaada najua humu kuna wazazi na wengine wenye ujuzi na
uelewa wa matatiz ya watoto wetu.
Wana jf polen kwa majukum na nashukur kwa ushaur wa bure tunaopeana.
Nina mwanangu wa kike mwenye umri wa miez minana na wiki mbili...mwanangu hapendi kula chakula chochote hususan uji na kikubwa anachotegemea ni maziwa ya mamake ambayo nayo hayatoki kwa eingi toka alipojifungua.
Wakati amezaliwa maziwa ya mamake yalikuw hayatoshi tukawa tunampa na mwaziwa ya ng'ombe sasa sijui hilo ni chanzo cha tatizo au vipi.
Kuna mtu alinambia may be maziwa alokuw anakunywa yalikuw na fat nyingi so imejenga coat na kumfanya ajiskie kushiba na kukosa hamu ya kula....
Wana jf naombeni msaada najua humu kuna wazazi na wengine wenye ujuzi na uelewa wa matatiz ya watoto wetu.
kuna maziwa yanauzwa Dr Cow Calcium Milk Candy. Ni mazuri mno wa watoto wasiopenda kula. Na pia yanasaidia sana ukuaji wa mifupa yake na kuifanya kuwa imara na meno pia. Atakuwa anakula mpaka unajisikia raha. 0759077008 Nitafute nikupatie hayo maziwa.
MPE chips mayai.
MPE chips mayai.
Escrow fever.....
Yani kidume changu cha 2 years hakipendi kula kabisaaaa. The secretary.
Yani kidume changu cha 2 years hakipendi kula kabisaaaa. The secretary.
Madame B njoooo. Sijawahi kusikia unga qa maini.Wala usihangaike na hizi no.za simu mpatie chakula cha asili na zaidi kisicho na viungo halafu mwachie ale mwenyewe kama alivyosema [MENTION=85213]Farkina .
Mpikie dagaa au samaki wasiokaangwa wale fresh,mtilie kitunguu,hoho,katia na nyanya kidogo vichemke pamoja mpigie na ugali wa dona changanya na ngano isiyokobolewa ugali mlaini, vinasaidia kuleta hamu ya kula ngoja madameB aje akupe njia ya kutengeneza unga wa maini
call me through 0759077008 nikupatie suluhisho Karucee