Habarini great thinkers!
Moja kwa moja kwenye uzi, nina mwanangu wa kike sasa ana miaka mitatu. Tatizo lake hapendi kula hata akila hawezi kutafuna na mara nyingi hutapika!
Tafadhali naomba mnisaidie namsaidiaje? Natamani kuona akila na kufurahia chakula.
Ahsanteni Sana!
Mungu awabariki!