Igombe fisherman
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 2,027
- 3,565
Uongo gred ya taifa. Hayo madude yalishanichelewesha shule mara kibao nilipoyaamini kama yanacheza na saa kamili. Kwa kifupi hakuna mnyama anayecheza vizuri na muda akilinganishwa na hisi saa zetu za kizunguyaani punda analia kila inapotimia saa kamili, mfano, saa 12 kamili utamsikia poopiiiiiipoooooooooopiiiiiiiiiii.....