Mwananchi yoyote anaweza kuoanana na rais wa JMT?

JFK wabongo

JF-Expert Member
Aug 11, 2015
3,887
3,195
Wadau kichwa cha habari kinajieleza.

Je inawezeka raia kuomba kumuona rais na kukubaliwa? Ni kwa circumstances zipi?

Iko kisheria au itategemea utashi wa walinzi wa ikulu?
 
Back
Top Bottom