Kupitia video inayosambaa Mtandaoni inamuonyesha kijana akielezea kwa hasira tukio la kutekwa kwa Humphrey Polepole usiku wa kuamkia Oktoba 6, 2025, akidai kutaka kujua hali ya Polepole kama yupo hai pia kumtaka Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Faustine Mafwele ajiuzulu
Soma pia
Soma pia
- Humphrey Polepole adaiwa kutekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6
- Muliro: Tunafuatilia taarifa za Polepole kutekwa ila alisema hayupo nchini amerudi lini?
- Mama Polepole: Nirudishieni mwanangu akiwa hai au amekufa, alikuwa mtoto wa kipekee