Mr Brown Mzungu
Member
- Jun 10, 2020
- 11
- 15
hata hivyo print media imekuwa kwenye hali mbaya kutokana na mabadiliko ya teknolojia ya habari na mawasiliano watu wanapata habari kwemye vyanzo vingine vya habari na ili hizi zisimame labda kama itabidi wawe na makala za kiuchambuzi zenye kuandikia makala mbalimbali kwa weredi wa hali ya juu kwani kuripoti taarifa pekee hakutoshi kwa sasaKiuhalisia sector binafsi kwa ujumla inahali tete sana.
hata hivyo print media imekuwa kwenye hali mbaya kutokana na mabadiliko ya teknolojia ya habari na mawasiliano watu wanapata habari kwemye vyanzo vingine vya habari na ili hizi zisimame labda kama itabidi wawe na makala za kiuchambuzi zenye kuandikia makala mbalimbali kwa weredi wa hali ya juu kwani kuripoti taarifa pekee hakutoshi kwa sasa
Na ni magazeti yote yanateketea si Mwananchi tu.Yani bado katika zama hii kuna ananunua gazeti...?!
Hizo habari umezipata wapi? Kapate utafiti tenaUongo,marekani na Ulaya kwenye top ya teknolojia ya mawasiliano ya mtandao magazeti bado yanauzwa sana
Fanya uchunguzi na bahati mimi ni mdau wa print media, mfano magazeti mengi licha ya kutegemea mauzo ambayo yameshuka hutegemea matangazo na kwa kiasi kikubwa watangazji wengi wanatumia platform nyingine kuliko magazeti kwa sasa mtu ni bora apeleke tangazo kwa millard ayo kuliko kuweka gazetini.Uongo,marekani na Ulaya kwenye top ya teknolojia ya mawasiliano ya mtandao magazeti bado yanauzwa sana
Yaani ukiona Mwananchi lina hali mbaya ujue wengine ndio wanakufa kabisa, watasavaivu hawa wa Serikali tuNa ni magazeti yote yanateketea si mwananchi tu.
Zama zimebadilika.
Print media bado ipo na itendelea kuwepo hata dunia ya kwanza digitization inaleta changamoto sanahata hivyo print media imekuwa kwenye hali mbaya kutokana na mabadiliko ya teknolojia ya habari na mawasiliano watu wanapata habari kwemye vyanzo vingine vya habari na ili hizi zisimame labda kama itabidi wawe na makala za kiuchambuzi zenye kuandikia makala mbalimbali kwa weredi wa hali ya juu kwani kuripoti taarifa pekee hakutoshi kwa sasa
Umemaliza Kila kitu mkulu hasa hapo mwishoFanya uchunguzi na bahati mimi ni mdau wa print media, mfano magazeti mengi licha ya kutegemea mauzo ambayo yameshuka hutegemea matangazo na kwa kiasi kikubwa watangazji wengi wanatumia platform nyingine kuliko magazeti kwa sasa mtu ni bora apeleke tangazo kwa millard ayo...
Ina survive ila kwa mbinde Sana. Mfano kupitia hapa JF tunapata habari za moto moto tu, WhatsApp tunasambaziana habari za moto moto tu, Nani atasubiri mpaka kesho aje anunue Gazeti lenye habari za leo?Print media bado ipo na itendelea kuwepo hata dunia ya kwanza digitization inaleta changamoto sana
Unataka kutuambia Ulaya na Tanzania tuko sawa kwenye nyanja ya usomaji wa magazeti au vitabu mmh?Uongo,marekani na Ulaya kwenye top ya teknolojia ya mawasiliano ya mtandao magazeti bado yanauzwa sana