BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 654
- 1,598
Tukio hilo lilitokea Machi 10, 2026 wakati Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba aipozungumza na Wananchi wa Sumbawanga Mjini, Mkoani Rukwa.
asili ya waha na wamanyema.Yule Jamaa bahiri sana
Diamond ni muha?asili ya waha na wamanyema.
Ana hela basi 🤣🤣🤣Yule Jamaa bahiri sana
Kigoma Moja IleDiamond ni muha?
Huyo mwana nchi ni mpuuzi sana.. Hajui kutofautisha matendo ya hiari na ya shurutiMwananchi mmoja mkazi wa Mtaa wa Senti, uliopo katika Wilaya ya Sumbawanga Mjini mkoani Rukwa, ametoa malalamiko yake kwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, akieleza kuwa hadi sasa ahadi iliyotolewa na msanii maarufu wa muziki wa Bongo Flava, Diamond Platnumz, ya kuchangia kiasi cha shilingi milioni 60 kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Msingi Senti bado haijatekelezwa.
Tukio hilo lilitokea Machi 10, 2026 wakati Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba aipozungumza na Wananchi wa Sumbawanga Mjini, Mkoani Rukwa.