Mwanamziki Sophia George aliitaja Tanzania kwenye wimbo wa girlie girlie mwaka 1985

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Kipindi Tanzania inaheshimika mpk Caribbean Barbados Jamaica na duniani kote mwanamziki Sophia George aliwahi kuitaja Tanzania kwenye wimbo wa girlie girlie miaka ya 80 mwanamama huyu sijui yuko wapi kwa sasa ila najua mtoto wake wa kiume ni mchezaji maarufu kwenye ligi ya kikapu NBA huko USA Kama wewe ni fan wa Sophia njoo tukutane Hapana

nyimbo zake maarufu ni

girlie gįrlie na tenarment yard!!
 
Mwana mama alitikisa 90s balaa namkubali
 
Mwananchi wa kule Ikugwi watafaidika na nini na huyo mwana mama kuitaja Tanzania Kwenye huyo wimbo? Nendeni mkalipe kodi mfanye kazi kwa bidii
Mkuu wacha watu wajifariji kwa kumbukumbu za kusisimua, kazi tumefanya korosho zimesombwa
sio kila sehemu unatia unafiki wako kwa kuipenda CCM
 
Kulipa kodi inahusiana vipi na ccm mkuu? Hata Chadema wakishika dola lazma tulipe kodi
 
Kipindi Tanzania inaheshimika mpk Caribbean Barbados Jamaica na duniani kote mwanamziki Sophia George aliwahi kuitaja Tanzania kwenye wimbo wa girlie girlie miaka ya 80 mwanamama huyu sijui yuko wapi kwa sasa ila najua mtoto wake wa kiume ni mchezaji maarufu kwenye ligi ya kikapu NBA huko USA Kama wewe ni fan wa Sophia njoo tukutane Hapana

nyimbo zake maarufu ni

girlie gįrlie na tenarment yard!!
...kuitaja kwake Tanzania ndani ya wimbo wa Girlie Girlie hakukuiongezea chochote nchi yetu maana alitaja pia majina ya nchi nyingine nyingi tu ndani ya wimbo huo ambao maudhui yake ilikuwa unamzungumzie kijana aliyekuwa akipenda mabibi sana kiasi kwamba alikuwa nao kila sehemu na kwenye nchi kadhaa ikiwemo Tanzania...
...Young man too girlie girlie....!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom