Mwanamziki mwingine Msondo Ngoma afariki dunia

Mod's unganishe na ile ingine iliyo hewani tayari.
 
Nimekuja kujua Muziki wa msondo ikiwa waimbaji wanne tayari washatoweka....ni huzuni sitoweza kuwaona wakitoa burudani wakiwa hai.

Mapenzi ya Mungu...awaeke pema peponi
 
muda si mrefu mwanamziki wa msondo ngoma josee maina amefariki dunia ndani ya daladala alikuwa akienda kurecord sinza.
Poleni ndugu wa marehemu pamoja na mashabiki wa msondo ngoma.
More news to come.
r.i.p
 
Nimekuja kujua Muziki wa msondo ikiwa waimbaji wanne tayari washatoweka....ni huzuni sitoweza kuwaona wakitoa burudani wakiwa hai.

Mapenzi ya Mungu...awaeke pema peponi

Ukisema waimbaji (nani na nani)wanne tayari washatoweka itakuwa siyo rejea nzuri kwani wako wengi sana ambao weshatangulia, kama kina Hayati Nico Zengekala na mambo ya solemba, n.k. Tafuta rejea nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…