[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu english yako imekongoroka
Wale hawana sifa za kuwa wanajeshi wale ni raia tu wakakamavuNenda geti za Makumbusho pale wanaposimama wanajeshi wenye sare kama wale wanaobeba mitutu kwenye msafara wa Baba Mkubwa kamuulizie watakupa info zake
Ujambo masai dada?hahahahaha members only
Hicho ni Kiinglishi.mkuu english yako imekongoroka
Kwa atakuwa amezidiwa na utamu au??.Si Alimuoa mwanamuziki mwenziwe anaitwa Besta wote sijuwi wako wapi.Yule Besta alikuwa ana bongeeee la tako na uno kama lote.
Ah!!!, sawa Mkuu.sio mimi bana na wewe nilikua najibu coment ya atoto
[emoji23][emoji23][emoji23] wifi Besta hajamboNiko na ishu nyingine.Music nimeawaachia vijana
Tulishaachana[emoji1][emoji23][emoji23][emoji23] wifi Besta hajambo
Kakonda au kanenepa au kawa mrefuMarlow yupo Mikocheni B. Wiki chache zilizopita alifika ofisini kwetu. Haimbi kwa sasa. Kawa normal person na alisema still anaishi na Besta. Sikuweza kupiga nae picha japo nazipenda sana nyimbo zake. Sikuweza kupiga nae picha kwakuwa msingeamini kama ni yeye kwa namna alivyo sasa.
Haimbi tena!Marlow yupo Mikocheni B. Wiki chache zilizopita alifika ofisini kwetu. Haimbi kwa sasa. Kawa normal person na alisema still anaishi na Besta. Sikuweza kupiga nae picha japo nazipenda sana nyimbo zake. Sikuweza kupiga nae picha kwakuwa msingeamini kama ni yeye kwa namna alivyo sasa.