Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,370
- 14,522
Yaani wimbo wake wa Rita umenikonga Sana Lkn jamaa hasikiki sijui ni kwa nini??. Km JF ni vema akatujibu.Kwa kweli Marlow umekua kimya sana au umeachana na music???
Mhhh!!!, kwa hiyo wewe ni Marlow au siyo???!!!. Sio vizuri kudandia gari kwa Mbele.Niko na ishu nyingine.Music nimeawaachia vijana
Sio kinondoni?[emoji23][emoji23][emoji23]Nipo Buza unasemaje?
Are you Marlow??.Nipo Buza unasemaje?
Ndio wapi huko?Sio kinondoni?[emoji23][emoji23][emoji23]
YesAre you Marlow??.
hahahahaha members onlySio kinondoni?[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hahahahaha members only
nipo sana .kuna muda naeza kaa hata miez sita nasoma tu sikoment chochote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sweetheart wa wenyewe huyo.
We mama ulipotelea wapi?
JF ndio mwisho wa reli.Nimeamua kuchagua JF kumuulizia Marlow kwa sababu maalumu.Nenda geti za Makumbusho pale wanaposimama wanajeshi wenye sare kama wale wanaobeba mitutu kwenye msafara wa Baba Mkubwa kamuulizie watakupa info zake
Strictly, your not Marlow.nipo sana .kuna muda naeza kaa hata miez sita nasoma tu sikoment chochote
ukiweza kuikontro arosto ya jf basi weww shujaa
nilikua adicted ila sasa mpaka niamue
sio mimi bana na wewe nilikua najibu coment ya atotoStrictly, your not Marlow.
mkuu english yako imekongorokaStrictly, your not Marlow.