mihigo alikuwa mtu wa karibu sana na serikali ya kagame, jamaa alikuwa zake Ubelgiji, aliyemshauri kurudi Rwanda alikuwa jeanette kagame. kazi yake ilikuwa kuimba imba nyimbo zinazohusu genocide. Hii hapa article kutoka source inayopendwa sana na ndugu zangu murutongore na Koba, The New Times Rwanda: :: Kizito Mihigo excites fans on Xmas enzi hizo kizito akiwa "mtoto wa mama (jeanette)".
Mshkaji kaharibu juzi juzi pale alipotoa track "Igisobanuro Cy'urupfu", ambayo basically ilisema kuwa kifo ni kifo tu bila kujalisha nani kaua, whether kupitia genocide au mauaji ya kisasi. Hapo kwenye mauaji ya kisasi akawa kamgusa kagame na RPF moja kwa moja kupitia mauaji ya wahutu (genocide against hutu) nchini congo. Track iha-hit ile mbaya nchini Rwanda kwa sababu inaongelea kile ambacho wanyarwanda hawawezi kukisema hadharani i.e kuwa kagame naye ni sawa na interahamwe!
kagame akaanza kuwa paranoid kama kawaida yake, na ndipo akasema yale maneno "I am not a musician supposed to please anybody" nyimbo ikapigwa marufuku for being guilty of "revisionism"! maana aliona ukweli wa hii track unaweza kumletea matatizo.
Kama kawaida ya serikali ya Rwanda, ikamteka huyu jamaa pamoja na wakurugenzi wa radio ya kikristo (obviously for playing the song) na wengine, ikawashikilia kinyume cha sheria mafichoni kwa WIKI NZIMA, wakati familia zao zinahangaika kuwatafuta, possibly katika one of their torture houses (this is not uncommon in Rwanda), na baada ya wiki nzima, ndipo polisi wakatoa taarifa kuwa wanawashikilia kwa:
kupanga kupindua serikali! kushirikiana na waasi (akina kayumba nyamwasa, twagiramungu, FDLR etc)! ugaidi! kupanga assasinations za viongozi! na mengineyo kibao yanayowajia kichwani, na pamoja na hayo wanadai eti jamaa na wenzie walikuwa na mabomu! na watuhumiwa WAMEKIRI MASHTAKA, well i guess after a week of whatever these guys went through extrajudiciary, huko walikokuwa wamehifadhiwa wangekiri chochote! ukizingatia kuwa hawa hawana background za kijeshi.
in short jamaa anapitia matatizo yale yale waliyopitia wasanii waliodare to sing the inconvinient truth like fela kuti, miriam makeba,......
mihigo alikuwa mtu wa karibu sana na serikali ya kagame, jamaa alikuwa zake Ubelgiji, aliyemshauri kurudi Rwanda alikuwa jeanette kagame. kazi yake ilikuwa kuimba imba nyimbo zinazohusu genocide. Hii hapa article kutoka source inayopendwa sana na ndugu zangu murutongore na Koba, The New Times Rwanda: :: Kizito Mihigo excites fans on Xmas enzi hizo kizito akiwa "mtoto wa mama (jeanette)".
Mshkaji kaharibu juzi juzi pale alipotoa track "Igisobanuro Cyurupfu", ambayo basically ilisema kuwa kifo ni kifo tu bila kujalisha nani kaua, whether kupitia genocide au mauaji ya kisasi. Hapo kwenye mauaji ya kisasi akawa kamgusa kagame na RPF moja kwa moja kupitia mauaji ya wahutu (genocide against hutu) nchini congo. Track iha-hit ile mbaya nchini Rwanda kwa sababu inaongelea kile ambacho wanyarwanda hawawezi kukisema hadharani i.e kuwa kagame naye ni sawa na interahamwe!
kagame akaanza kuwa paranoid kama kawaida yake, na ndipo akasema yale maneno "I am not a musician supposed to please anybody" nyimbo ikapigwa marufuku for being guilty of "revisionism"! maana aliona ukweli wa hii track unaweza kumletea matatizo.
Kama kawaida ya serikali ya Rwanda, ikamteka huyu jamaa pamoja na wakurugenzi wa radio ya kikristo (obviously for playing the song) na wengine, ikawashikilia kinyume cha sheria mafichoni kwa WIKI NZIMA, wakati familia zao zinahangaika kuwatafuta, possibly katika one of their torture houses (this is not uncommon in Rwanda), na baada ya wiki nzima, ndipo polisi wakatoa taarifa kuwa wanawashikilia kwa:
kupanga kupindua serikali! kushirikiana na waasi (akina kayumba nyamwasa, twagiramungu, FDLR etc)! ugaidi! kupanga assasinations za viongozi! na mengineyo kibao yanayowajia kichwani, na pamoja na hayo wanadai eti jamaa na wenzie walikuwa na mabomu! na watuhumiwa WAMEKIRI MASHTAKA, well i guess after a week of whatever these guys went through extrajudiciary, huko walikokuwa wamehifadhiwa wangekiri chochote! ukizingatia kuwa hawa hawana background za kijeshi.
in short jamaa anapitia matatizo yale yale waliyopitia wasanii waliodare to sing the inconvinient truth like fela kuti, miriam makeba,......
How Kizito Mihigo planned to gain power through terror
Kizito gives his confession to the media at Police headquarters in Kacyiru yesterday. Top right, Niyibizi is led by Police officers for handing over to prosecution authority, while bottom right, Ntamuhanga confesses his part in the plot. Timothy Kisambira.
In a statement released on Monday, the Police announced it had arrested artiste Kizito Mihigo and two accomplices, Cassien Ntamuhanga and Jean Paul Dukuzumuremyi, following a thorough investigation in a plot to conduct terrorism acts in key buildings within the City of Kigali and assassinate Rwandan leaders.
A fourth suspect, Agnes Niyibizi, was also arrested a day later. She was a cash courier, ferrying funds to facilitate the terror operations.
Ntamuhanga worked for a Christian radio station while Dukuzumuremyi is a former soldier. Initially reported missing by his family, Ntamuhanga was arrested while attempting to flee the country.
Initially, there were suspicions that Kizito was being framed, with many shocked at his alleged involvement in acts of terror.
But with more evidence of Kizito's actions coming to light, the facts to date speak for themselves.
What the evidence shows
During his handover from the Rwanda National Police to National Prosecution, yesterday, Kizito admitted to charges of working with the FDLR, a terrorist group based in DR Congo, and Rwanda National Congress (RNC), a South Africa-based organisation founded by Rwandan fugitives.
Both FDLR and RNC have been linked to grenade attacks in the country.
When he joined, Kizito was assigned the task of mobilising and recruiting fellow youth into the terrorist organisations.
According to a reliable source involved with the case, part of the terror plot involved assassinating at least four senior officials in government, parliament and security agencies.
The other plan was to blow up the city's tallest building – Kigali City Tower (KCT). The planned attacks were being coordinated by one of Kizito's co-accused, Dukuzumuremyi.
Upon his arrest, Dukuzumuremyi was found in possession of six hand grenades which, according to Police, were to be used in the attacks.
His reward for the attack on KCT was Rwf3 million of which he is said to have received an advance payment of 10 per cent that was delivered by Niyibizi, the cash courier.
The source also revealed a plan to overthrow the Rwandan government using the FDLR militia, principally made up of the perpetrators of the 1994 Genocide against the Tutsi in Rwanda in which over a million people were slaughtered.
Kizito, as the lead youth mobiliser, was to fly to one European country, from where he would record a declaration supporting the violent overthrow of government.
The ‘declaration process' was being coordinated by senior RNC member Callixte Nsabimana, alias Sankara.
It is alleged that Kizito was identified to be the face of the ‘declaration' because of his popularity as an artiste.
Kizito told reporters that his motivation for being part of the operations was that he believed he would be given a leadership position with a change of government.
The suspects are scheduled to appear in court next week when prosecution is expected to present its evidence that includes electronic communication containing the details of the said operations.
Contact email: edwin.musoni[at]newtimes.co.rw
There you go dimwit. Soma hapo kwenye red. Uache riwaya zako za alfulela
Mkuu this is worrying development, Koba si mtu wa kuweza kuambiwa na kuelewa, anaonekana kama ni mtu mwenye extreme adeology. Naamini Murutogore atakuwa anaelewa tunaposema muuaji ni muuaji tu bila kujali muuaji ni nani. Kagame juzi alisema FACTS WILL REMAIN TO BE FACTS no matter what, lakini ni kama anataka kutuambia yeye ndio anadetermine what fact is and what fact is not.
Tuchangie na kufahamisha kuhusu issue hii objectively, bila shaka wadu wanaojua vizuri wanaweza kutueleza kama kweli hili limetokea kama ilivyoelezwa na BBC, na kama kweli mwimba nyimbo za injili nae amekuwa sympathiser wa interhamwe, kama mtutsi ambaye alikuwa main victim wa genocide anapiga kuwa genocide haikutokea, au kama kweli huyo jamaa anataka kupindua serikali, au kama kweli ni mtutsi mhutu ambaye anatisia usalama wa serikali.
1. where else do suspects get kidnapped and hidden at secret locations for a week and then wanaibuliwa to "give confessions to the media" before being taken to court? only in Rwanda! Suspects wote wa design hii huwa wanatishiwa maisha ya familia zao popote walipo duniani, hata karegeya na nyamwasa ndugu zao wamenyang'anywa passports za Rwanda. Hiyo confession ni matokeo ya blackmail tu hamna kitu hapo. The guy is doing it for his family, nothing else.
2. Kizito mihigo ni mmoja wa survivors wa mauaji ya interahamwe 1994, he is a tutsi!, a real tutsi born and bred in Rwanda, not tutsis from tabata and tegeta like the ones in JF, How possible is it eti, leo hii ashirikiane na FDLR? wale wale supposedly "tutsi killers" ambao walimuulia ndugu zake, tena for money and cheo?
3. tuhuma za mashambulizi ya grenades kigali hazijawahi kuthibitishwa kuwa wahusika ni RNC, RNC wamekataa, FDLR wamekataa, hata hiyo taarifa yako hapo juu inasema hivi "Both FDLR and RNC have been linked to grenade attacks in the country." Linked by whom? since when kundi la ukombozi likatae harakati zake zenyewe? Makundi yote haya ni makundi yanayoundwa na wanajeshi wa ukweli, hakuna logic yoyote ya wataalamu wa strategy za kijeshi kama hawa akina Nyamwasa kupindua nchi kupitia vibomu viwili vya mkono sokoni, to what end? hivi vibomu ni sinema ya kagame to frame these people and nothing else. Si RNC wala FDLR inayoweza kufanya mashambulizi ya kitoto kama hayo.
Ulipue jengo halafu iweje? what purpose does it serve, how does that contribute in the overall scheme of overthrowing the gov?
objectively:
1. Huyu kizito mwenyewe ni mtutsi aliye survive mauaji ya Rwanda mwaka 1994, yeye ni mtutsi wa kweli ambaye "genocide" ilimgusa moja kwa moja si kama hawa watutsi wa hapa JF wasiokuwa na connection yoyote to Rwanda except historia tu ya kuambiwa "kizazi chetu kilitokea Rwanda", kama vile shivji anavyojua kuwa mababu zake mababu zake walitokea India. Yeye anaelewa zaidi ukweli wa mauaji yale ndio maana alipotoa hii nyimbo yake aliweka balance kati ya wauaji wa kihutu (interahamwe) na wa kitutsi (kagame na RPF), kwani pamoja na ndugu zake yeye kuuwawa na wahutu, anajua for a fact kuwa watutsi si malaika vile vile.
2. Siku zote hizo huyu jamaa anakubalika na state house, mpaka alipotoa wimbo huu, wimbo ukapigwa marufuku, kagame anasema "i am not a musician...", anatekwa, halafu anaibuka "kukiri" mashtaka ya ugaidi na mambo mengine kibao? Naungana na wewe hii ni vita vya FACTS. Kagame hataki FACTS tofauti na za kwake.
Contradicting yourself as usual. Unajua mara nyingi mtu anaengoea ongea ovyo kama wewe unasahau hata ulichosema. Hapo kwenye red. Nikuulize wewe, Robert Kajuga alikuwa kabila gani? If Robert Kajuga aliuwa ndugu zake, kwa nini Huyu Kizito asifanye hivyo hivyo? Yaani hili lijitu huwa linasahau ki rahisi. Yaani wewe you are trully a dimwit.